Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Kwani MUNGU MTU hakuwahi KUZUNGUKWA?View attachment 1831639
Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake.
Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo.
Picha hii inafikirisha sana.
Indeed you have rightfully narrated it. May God bless whatever you do in this life.This is definately the supremacy of Roman Catholic church in this world.
Hii nchi kuelekea kupata uhuru tarehe tisa desemba 1961 ilikabidhiwa kwa mamlaka za Mungu. Iliombewa kwa ibada za kiislam na ikaombewa kwa ibada za kikristo. Kuna sala maalum ilifanyika pale Saint Joseph. Tulianza na Mungu na yalipokuja maasi ya jeshi 1964 yakazimwa kwa uwezo wa Mungu. 1980 mwanzoni watu fulani wakataka kumpindua JKN ikashindikana.View attachment 1831639
Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake.
Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo.
Picha hii inafikirisha sana.
Mbona JPM alivaa kanzu na kuingia msikitini na hata alichangisha michango kanisani ya kujenga msikiti. Kwa Tanzania ni kitu cha kawaida serikali haina dini watu wake wana dini. Tuache uchonganishi. Mungu anailinda TZ hilo ndilo kubwa.Mwendazake alikuwa shetani
RC ni nusu dini nusu serikali hapo yupo na viongozi wenzake wa serikali,ndio maana kawapuuza walokole na madhehebu mengine,Vatican ni dubwasha kubwa
Amezungukwa na mitutu na mashetani wenye sura mbaya zisizocheka.Kwani MUNGU MTU hakuwahi KUZUNGUKWA?
Rc ina run duniaAcheni kauli za utengano, hiyo roho mliyopandikiziwa ya chuki itawatoka lini? wapi mama kawapuuza walokole? Mkutano ulikuwa wa Roman ulitaka Rais alazimishe madhebebu mengine yawepo?
Mkuu unalitazama bandiko katika macho ya udini.This is definately the supremacy of Roman Catholic church in this world.
Na ndio maana inahusishwa na FreemasonryRc ina run dunia
Mkuu, mimi jicho langu la tatu linaangalia uongozi wa Kanisa Katoliki la Roma katika "influence" yake kijamii, kiuchumi, kijamii na hata kiutamaduni duniani.Mkuu unalitazama bandiko katika macho ya udini.
Na so kama ilivyokusudiwa.
Kwa mtazame you unaweza kusema Rais muislamu, mwanamke amewatawala RC!
Shortsightedness!
Msingi wa bandiko ni tranquillity, peace , love and stability.
Inaelekea hiyo bond hapo jioni, na ndio maana nimesema picha inafikirisha sana.
Sikubaliani na mawazo yako maana kanisa Katoliki lilimbeba Mwendazake, na kila jumapili alikuwa wakifanya kufuru madhahabuni pale St Peter's.Mkuu, mimi jicho langu la tatu linaangalia uongozi wa Kanisa Katoliki la Roma katika "influence" yake kijamii, kiuchumi, kijamii na hata kiutamaduni duniani.
Hivi unatambua majira ya sasa ya kalenda ya mwaka yalianzia wapi? Je! Hivi unatambua asili ya mfumo wa sasa sheria, taasisi na utawala katika kuongoza nchi nyingi duniani ulianzia wapi? Je!! Unatambua ushawishi wa sasa wa Vatikano katika nyanja zote muhimu za maisha duniani? Je! Unatambua uasisi wa siku ya Jumapili kuwa siku ya mapumbizo duniani katika nchi nyingi duniani?
Mkuu nafikiri ungepaswa kuniuliza ukuu ninaoungalia juu ya kanisa hili ninatumia vigezo gani hasa? Rais alikwenda mahususi ili kukutana na viongozi hao akitambua kwa kina ni kwa kiasi gani wanaweza kumsidia katika uongozi wake.
Wewe hushangai hata katika kuwasalimia alitumia salamu yao yenye kuliinua jina la Yesu kinyume na salamu aliyoizoea ya jina la JMT! Picha hiyo inatafakarisha kwa kuwa hata viongozi wote wenye imani ya Kikatoliki ikiwemo waliokuwa marais wa nchi hii Nyerere, Mkapa na Magufuli wakienda ibadani hupaswa kuinama ama hata kupiga magoti mbele ya maaskofu na kubusu pete zilizopo ktk vidole vyao. Hata Joe Biden leo akikutana na Papa kiimani huwajibika kufanya hivyo.
Akimaliza mitano tunamuongeza mitano tena
Come clean, hao ni Usalama wa Taifa?Ningeambiwa niitie Maneno hiyo picha ningesema Samia and the Deepstate 😁
Kweni nimesema Deepstate ni Usalamawa Taifa?Come clean, hao ni Usalama wa Taifa?
Ulikuwa unatafutwa Sana hapa jukwaani msimu wote wa teuzi,hata wadau wakawaza umekula teuzi,karibu tena ndugu.Amina!
Mataga hawataki kabisa kusikia hayaAkimaliza mitano tunamuongeza mitano tena
Ufalme wao Ni wa hapa dunianiKiroho au kidunia?
Usiwasahau tundulissu na fatmakarume wameungaba na makamo wa kwanza kutetea uamsho waliochoma makanisa ni kumwagia tindikali mapadri wa hawa Maaskofu, pia wanadai kisiwa cha Mafia ni cha Sultani wanataja warejeshewe. Amani hii ipo tu kwa sababu ya mkono mkuu wa Marehemu kuwazuia wasituvuruge la sivyo sasa hivi tungekuwa tunachinjana. Mama S akiwachekea tutarudi hukohuko.View attachment 1831639
Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake.
Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo.
Picha hii inafikirisha sana.