Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Habari
Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi.
Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja.
Kinachowafanya wawashe AC, wavae tai wakae roundtable wakijifanya wanaakili nyingi ni kipi?
Alama anazopata mtunakiwa chuo vipi zidifae kuamua aende ama laa na akapate job recruitment hukohuko kazini??
Jamani wkt serikali inawachukua voda fanta wakafanyakazi na sasa wanapiga vzr kipi kimebadirika?? Tuacheni ushamba huu wa kujifanya tunajua sana kutengeneza njia za kula pesa.
Ushauri.
1. Iwaajiriwe kwa batch mafunzo watapata hukohuko. Hii itaondoa rundo la majobless na ukiritimba unaondelea.
2. Kama alivyosema Dr mmoja pale bungeni, kama mmekaa na mtoto miaka yote shulen mkampa karatasi sasa mpeni cheti na kazi.. mpeni training na probation 6 months.
3. Nchi hii iachane na mawazo ya kivivu ya watu kukaa ofsin eti wanafanyisha wenzao interview.
my take.
Nilikwenda kufanya interview cha ajabu maswali niliyojibu yalikuwa kama marking scheme ya wale watu. Tena wakaniomba nikasubiri watanihoji upya. Kesho yake nikaitwa kazini.
Wapeni watu kazi watapata recruitment hukohuko.
shule ndio ziimarishe mafunzo kwa vitendo.