Kutumia hawala wake ni kujiongezea matatizo tuu, watu hawapendi mazoea kwa hawala zao au wake zao, tumia rafiki au ndugu yake anayemheshimuMtafute Boss ongea nae akikataa mtafute hawara wake mpe hela akaongee na danga lake imetoka hio🤣
Kupata connection yenye moyo huo sio kitoto pia, ni kaziShida yako ww unataka mafanikio kwa njia za halali kitu ambacho ni kigumu
Waswahili wanasema toa pesa upate pesa na mkono mtupu haulabwi
Chukua nusu ya mshahara wako wape watu wa connection wakupambanie achana na njia halali utapoteza muda na utachelewa kupata unachoitaji