The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Jiwe alituharibia sana mifumo ya kiutawala ya kitaasisi.Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba mwenzie bila kujali wananchi watapitishwa kwenye matope aina gani.
Msumari wa mwisho kwenye hilo jeneza ni machawa, ambao kwakweli wako tayari kutetea chochote maadamu tu kimesemwa na wanaowachawia.
Hili wimbi litazalisha majuzi na mafisadi makubwa sana kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwani katika hali ya kawaida mtu akiiba ataenda karibu na mmiliki wa machawa alafu wataanza kumuimba na kumsafisha kwa nguvu sana then itaisha hivyo.
Kwa upande wa media nazo pia zimeparalize na kucompromize hivyo taifa letu lipo njiapanda ngumu sana.
Gentleman,Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba mwenzie bila kujali wananchi watapitishwa kwenye matope aina gani.
Msumari wa mwisho kwenye hilo jeneza ni machawa, ambao kwakweli wako tayari kutetea chochote maadamu tu kimesemwa na wanaowachawia.
Hili wimbi litazalisha majuzi na mafisadi makubwa sana kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwani katika hali ya kawaida mtu akiiba ataenda karibu na mmiliki wa machawa alafu wataanza kumuimba na kumsafisha kwa nguvu sana then itaisha hivyo.
Kwa upande wa media nazo pia zimeparalize na kucompromize hivyo taifa letu lipo njiapanda ngumu sana.
Hakika ila usichokikumbuka ni kuwa chawa watukuka ni wengi na wenginèni waliokuwa na akili źo ila walikujàshtuka dakika za ajeruhi n̈a walijèuhiwa viķali na mabwana waliowatuma.Mkumbuke Jobù,Msaidizi wake,hadi naÿe ķuwa boss,kubuka na wisho wake,linganisha na yanàyojiŕ hivìleo🤔.Japo wanapeana faraja hakuna rafikì wa kudumu wala adui wa. Kudumu kwenye wizì wao kwenye siasa na kwenye utawala wa kuiba kura na chaguzi🤔Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba mwenzie bila kujali wananchi watapitishwa kwenye matope aina gani.
Msumari wa mwisho kwenye hilo jeneza ni machawa, ambao kwakweli wako tayari kutetea chochote maadamu tu kimesemwa na wanaowachawia.
Hili wimbi litazalisha majuzi na mafisadi makubwa sana kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwani katika hali ya kawaida mtu akiiba ataenda karibu na mmiliki wa machawa alafu wataanza kumuimba na kumsafisha kwa nguvu sana then itaisha hivyo.
Kwa upande wa media nazo pia zimeparalize na kucompromize hivyo taifa letu lipo njiapanda ngumu sana.
Dalili za ukubwa wa tatizo tulilonalo ndo hizi hapaGentleman,
mie nadhani,
huenda muunganiko wa kinafiki wa kuchochea chuki na kuhamasisha uhasama baina ya kanisa na chadema, ukawa na athari mbaya zaidi kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa wafuata mkumbo kwa miaka mingi sana ijayo.
Na in fact,
muungano huo una sura ya kuchoka amani na kupendea zaidi ghasia, uharibifu na maafa zaidi miongoni mwa waTanzania 🐒
Yeah,Dalili za ukubwa wa tatizo tulilonalo ndo hizi hapa
Gentleman,
mie nadhani,
huenda muunganiko wa kinafiki wa kuchochea chuki na kuhamasisha uhasama baina ya kanisa na chadema, ukawa na athari mbaya zaidi kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa wafuata mkumbo kwa miaka mingi sana ijayo.
Na in fact,
muungano huo una sura ya kuchoka amani na kupendea zaidi ghasia, uharibifu na maafa zaidi miongoni mwa waTanzania 🐒
Yaani viongozi wa teki na chadema wana hamu sana kuona damu za waTanzania zikimwagika aise.Wewe ni mmoja kati ya watu wataahira kuwahi kuwepo kwenye taifa letu
Jamaa kaja na hoja ya yenye mashiko wewe unatuletea CHADEMA, Bwana akukemee
Unaweza kunianishia matatizo ya Tek mkuu hebu yataje hapa na mimi nikutajie athari za hicho nilichokuambiaVipi kuhusu kolabo ya chadema, katoliki na TEC inalijenga taifa?!!!
Mbona ni kama una chuki binafsi na Tek kwani teki wana tatizo ganiYaani viongozi wa teki na chadema wana hamu sana kuona damu za waTanzania zikimwagika aise.
na wanafanya kazi kubwa mno kuhamisha na kuchochea wananchi wamwage damu.
ni hatari sana aise 🐒
Mashoga baada ya nchi kukombolewa lazima tuyaueGentleman,
mie nadhani,
huenda muunganiko wa kinafiki wa kuchochea chuki na kuhamasisha uhasama baina ya kanisa na chadema, ukawa na athari mbaya zaidi kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa wafuata mkumbo kwa miaka mingi sana ijayo.
Na in fact,
muungano huo una sura ya kuchoka amani na kupendea zaidi ghasia, uharibifu na maafa zaidi miongoni mwa waTanzania 🐒
Hilo bwabwa lipigwa miti kwenye makorido ya Lumumba huwa linashobokea wanaume hovyohovyoMbona ni kama una chuki binafsi na Tek kwani teki wana tatizo gani
Mashoga ya kizimkazi na mashehe ubwabwa ya bakwata kazi zake ni mbili tu kupigwa miti na ubwabwaVipi kuhusu kolabo ya chadema, katoliki na TEC inalijenga taifa?!!!
Mashoga na mashehe ubwabwa ya ccm kaz yake ni miti tuYaani viongozi wa teki na chadema wana hamu sana kuona damu za waTanzania zikimwagika aise.
na wanafanya kazi kubwa mno kuhamisha na kuchochea wananchi wamwage damu.
ni hatari sana aise 🐒
Gentleman,Mbona ni kama una chuki binafsi na Tek kwani teki wana tatizo gani
Na wewe acha upumbavu, kila kitu Jiwe chuki gani hii, huwezi ukachangia bila kumtaja Jiwe mabaya yote Jiwe, sifia na mazuri, hizo ni chuki binafsi, una chuki kama za Yericko dhidi ya Lissu/Heche.Jiwe alituharibia sana mifumo ya kiutawala ya kitaasisi.