G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona.
Samia Alihadaa kuwa ameunda tume itakayoshughulikia haya mambo.
Sasa imekuwa mwendo wa kuvamia watu na kuwachukua kwenda kuwahifadhi.
Kwa kitendo hiki analeta upya chokochoko. Unaweza kuwa kiongozi lakini ukahisi kuwa unajua kila jambo na jinsi ya kushughulika nalo. Kwa hapa anajidanganya.