Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwanza haya mambo yenu ya kuandika mnayokaririshwa yanawatia aibu. Sasa kwenye andiko langu nimelalamika nini?Wewe mpaka utazeeka unalalamika tu!!!
Au hata kujua utofauti kati ya kutoa maoni na kulalamika ni mpaka uambiwe na Wassira?
Wewe huna akili za kujitegemea mwenyewe?