Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona.
Samia Alihadaa kuwa ameunda tume itakayoshughulikia haya mambo.
Sasa imekuwa mwendo wa kuvamia watu na kuwachukua kwenda kuwahifadhi.
Kwa kitendo hiki analeta upya chokochoko. Unaweza kuwa kiongozi lakini ukahisi kuwa unajua kila jambo na jinsi ya kushughulika nalo. Kwa hapa anajidanganya.
Bali...Hatuna jeshi
Tuna wajinga tu wasiojitambuaBali...
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTokHii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona.
Samia Alihadaa kuwa ameunda tume itakayoshughulikia haya mambo.
Sasa imekuwa mwendo wa kuvamia watu na kuwachukua kwenda kuwahifadhi.
Kwa kitendo hiki analeta upya chokochoko. Unaweza kuwa kiongozi lakini ukahisi kuwa unajua kila jambo na jinsi ya kushughulika nalo. Kwa hapa anajidanganya.
Nchi haiwezi kuendeshwa kihuni, kuteka watu, kuwafungulia wapinzani kesi za mchongo, kuua maelfu ya waandamanaji,kuiba uchaguzi na kutoa matokeo feki ni nini?Kama ni Kwa Nia njema wakamatwe tu hata uhuni wa kibiti ulianza hivi hivi polisi wetu waliuawa ili sisi tuishi salama na wake zetu lkn hatuyaoni hayo,hili wimbi la watu wanajiita wanaharakati wa kuhamasisha vurugu na mitengano katika jamii si wa kuwachekea wapondwe vichwa vyao mpaka mtu wa mwisho nchi haiwezi kuendeshwa kihuni,hakuna taifa linaloendeshwa kihuni na Kwa vijana wanaotaka njia za mkato,Kwa serikali yapo ya kujitafakari na kuchukua hatua kujisahihisha lkn pia Kwa Raia zipo njia za kuwasilisha malalamiko yetu Kwa amani na si kuivimbia serikali mwisho maumivu ni yetu
Ww una makasi kwenye kichwaKama ni Kwa Nia njema wakamatwe tu hata uhuni wa kibiti ulianza hivi hivi polisi wetu waliuawa ili sisi tuishi salama na wake zetu lkn hatuyaoni hayo,hili wimbi la watu wanajiita wanaharakati wa kuhamasisha vurugu na mitengano katika jamii si wa kuwachekea wapondwe vichwa vyao mpaka mtu wa mwisho nchi haiwezi kuendeshwa kihuni,hakuna taifa linaloendeshwa kihuni na Kwa vijana wanaotaka njia za mkato,Kwa serikali yapo ya kujitafakari na kuchukua hatua kujisahihisha lkn pia Kwa Raia zipo njia za kuwasilisha malalamiko yetu Kwa amani na si kuivimbia serikali mwisho maumivu ni yetu
Uhuni mkubwa zaidi ni wizi wa uchaguzi na kujipachika madarakani bila ridhaa ya raia walio wengi.Kama ni Kwa Nia njema wakamatwe tu hata uhuni wa kibiti ulianza hivi hivi polisi wetu waliuawa ili sisi tuishi salama na wake zetu lkn hatuyaoni hayo,hili wimbi la watu wanajiita wanaharakati wa kuhamasisha vurugu na mitengano katika jamii si wa kuwachekea wapondwe vichwa vyao mpaka mtu wa mwisho nchi haiwezi kuendeshwa kihuni,hakuna taifa linaloendeshwa kihuni na Kwa vijana wanaotaka njia za mkato,Kwa serikali yapo ya kujitafakari na kuchukua hatua kujisahihisha lkn pia Kwa Raia zipo njia za kuwasilisha malalamiko yetu Kwa amani na si kuivimbia serikali mwisho maumivu ni yetu
Hata vichwa vya wapondaji vitapondwapondwa kwa speed ya 6G.Kama ni Kwa Nia njema wakamatwe tu hata uhuni wa kibiti ulianza hivi hivi polisi wetu waliuawa ili sisi tuishi salama na wake zetu lkn hatuyaoni hayo,hili wimbi la watu wanajiita wanaharakati wa kuhamasisha vurugu na mitengano katika jamii si wa kuwachekea wapondwe vichwa vyao mpaka mtu wa mwisho nchi haiwezi kuendeshwa kihuni,hakuna taifa linaloendeshwa kihuni na Kwa vijana wanaotaka njia za mkato,Kwa serikali yapo ya kujitafakari na kuchukua hatua kujisahihisha lkn pia Kwa Raia zipo njia za kuwasilisha malalamiko yetu Kwa amani na si kuivimbia serikali mwisho maumivu ni yetu
Hata wewe wakukamate tu. Serikali isiwavumilie wahuni wanaotaka kupindua serikali washughulikiwe ipasavyo!Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona.
Samia Alihadaa kuwa ameunda tume itakayoshughulikia haya mambo.
Sasa imekuwa mwendo wa kuvamia watu na kuwachukua kwenda kuwahifadhi.
Kwa kitendo hiki analeta upya chokochoko. Unaweza kuwa kiongozi lakini ukahisi kuwa unajua kila jambo na jinsi ya kushughulika nalo. Kwa hapa anajidanganya.
Nyinyi mlisusia uchaguzi kwa hiyo uchaguzi hauwahusu.Uhuni mkubwa zaidi ni wizi wa uchaguzi na kujipachika madarakani bila ridhaa ya raia walio wengi.
Hizo njia hebu zitaje na kuvimbia Serikali kukoje. Kwani hiyo Serikali inamilikiwa na nani?Pia Kwa Raia zipo njia za kuwasilisha malalamiko yetu Kwa amani na si kuivimbia serikali mwisho maumivu ni yetu
Uchaguzi haukufanyika. Ili tukio/tendo liitwe uchaguzi huwa kunakuwepo na sifa mahsusi, huu wenu ulikosa 90% ya sifa ya kuitwa uchaguzi.Nyinyi mlisusia uchaguzi kwa hiyo uchaguzi hauwahusu.
Uchaguzi umefanyika na walioshiriki wamekubali matokeo...
Wewe mpaka utazeeka unalalamika tu!!! Yaani toka nijiunge humu JF wewe ni kulalamika tu. Mkuu angalia usije ukafa na stress ukilalamikia serikali ya CCM.Hizo njia hebu zitaje na kuvimbia Serikali kukoje. Kwani hiyo Serikali inamilikiwa na nani?
Jee kila kinachoamriwa na Serikali ni sahihi?
Mbuzi wa KafaraHapa ndipo tulipo fikia
Wewe mpaka utazeeka unalalamika tu!!! Yaani toka nijiunge humu JF wewe ni kulalamika tu. Mkuu angalia usije ukafa na stress ukilalamikia serikali ya CCM.