Hii kamata kamata kila mtaa inayofanywa na serikali iliyojiweka madarakani ya Samia nadhani wote mnaiona

Wewe mpaka utazeeka unalalamika tu!!!
Kwanza haya mambo yenu ya kuandika mnayokaririshwa yanawatia aibu. Sasa kwenye andiko langu nimelalamika nini?

Au hata kujua utofauti kati ya kutoa maoni na kulalamika ni mpaka uambiwe na Wassira?

Wewe huna akili za kujitegemea mwenyewe?
 
Reactions: UCD
Nchi ina ukimwi hii
Upo ndio jihadhari usije ukaupata!! Lakini wewe si uko kwa mabeberu hangaika na ushoga huko ndio tatizo kubwa usije ukarudi Bongo ukiwa huna marinda!! 🤣
 
Huu ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…