Hii Kampuni ichunguzwe

New force
Sauli

Ni moja ya kampuni za hovyo sana kwenye soko la usafirishaji ...na imekua kawaida yao kusikia mabasi yao yamepata ajali.

R.I.P za waliotolewa uhai kwa upuuzi wa madereva na kampuni
 
Shida ni kwa mamlaka zipi tulizo nazo zenye kuweza kufanya maamzi hayo magumu? kwa ajali ilizozifanya mamalaka zilitakiwe ziwe zimesha isimamisha hata kwa ile adhabu ya miezi 6 kwanza lakini hakuna lolote ni ngumu sana kwasababu hatujui kilicho jificha nyuma ya upeo wa macho yetu.
 
Siyo kwamba wanamabasi mengi, so frequency ya ajali inzkuwa kubwa kuliko wenye basi chache
 
Ujinga ni ninyi watanzania wenye akili kama nyumbu..unasikia basi Lina rekodi mbaya wewe unakata tiketi as if hakuna mabasi mengine..mtaendelea kufa kizembe nyumbu nyie hadi siku mjitambue..
 
Wenye kampuni ya New Force wameiweka LATRA kwenye kiganja.
 
Nikishawahi kusema watu wa nyanda za juu kusini ni washamba Sana Sana hufurahia hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…