Hii Kampuni ichunguzwe

Hii Kampuni ichunguzwe

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Kampuni ya usafirishaji Mabasi, New force imehusika kwenye ajari nyingi sana. Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha.

FB_IMG_1711620598326.jpg
FB_IMG_1711620581662.jpg
 
Shida ni kwa mamlaka zipi tulizo nazo zenye kuweza kufanya maamzi hayo magumu? kwa ajali ilizozifanya mamalaka zilitakiwe ziwe zimesha isimamisha hata kwa ile adhabu ya miezi 6 kwanza lakini hakuna lolote ni ngumu sana kwasababu hatujui kilicho jificha nyuma ya upeo wa macho yetu.
 
Siyo kwamba wanamabasi mengi, so frequency ya ajali inzkuwa kubwa kuliko wenye basi chache
 
Ujinga ni ninyi watanzania wenye akili kama nyumbu..unasikia basi Lina rekodi mbaya wewe unakata tiketi as if hakuna mabasi mengine..mtaendelea kufa kizembe nyumbu nyie hadi siku mjitambue..
 
Nikishawahi kusema watu wa nyanda za juu kusini ni washamba Sana Sana hufurahia hatari
 
Back
Top Bottom