D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Mar 8, 2025 #1 Hapa Simba angekwanguliwa points 15. Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?
Hapa Simba angekwanguliwa points 15. Sasa given Simba na Yanga ndio biashara ya Football Nchi hii, ukiachia Vigogo Wazito Wana maslahi Yao katika timu hizi, unadhani kweli Bodi na TFF zitadhubutu hili litokee?