Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
-
- #121
Uvumilivu upo... Lkn sio kwa mazagazaga hayoNi kweli kabisa,vip lakini mzima?
Swadakta mkuu wangu. Tuko pamojaKweli mzee,Me ningekuwa naishia kula nje,mke apike chakula kizuri ..msosi ukiwa mzuri utafurahia hayo mapenzi.
Noma sana mkuu!Noma! Michepuko haijui kupika
U seem to be good kwenye upishi hajar,wa ubavu wako atakuwa anafaidi mapishi yako..Na wengi huwa wanaathiriwa na hiyo hali ya kufanyiwa jambo na wasaidizi wa ndani.
Umeonaee. Kama hajamchoka na bado anamuhitaji nadhani sio mbaya akampa nafasi ya kumfundisha au kumtafutia wa kumfundisha namna ya kupika chakula chenye muonekano wa kueleweka na kilichoungwa vyema pia
Ndio wakajifunze kabla ya kukimbilia wanaume,, wanaume tunahitaji misosi mizuri...sio shomboHahaaa. Lol.
Ila rafiki si kila mwanamke anajua kupika ujue
Tuko pamoja sana kamanda wanguNi kweli si kila mwanamke anajua kupika,ila kuna raha yake kama mume unarudi nyumbani unakuta umepikiwa makwasukwasu kama hayo,ntachoka tu
Samaki mkunje bado mbichi mkuuIla sio mbaya akatafutiwa darasa la kujifunza kupika sababu sidhani kama huyo mdada anapenda kupika hayo makwasu kwasu.
Mwanamke mapishi bhana asikudanganye mtu.Mimi mwenyewe toka niko nyumbani nimejifunza kupika naweza kupika,nadhani mwanamke huyo maybe ni wale ambao toka wadogo wao kupikiwa,kufuliwa na mfanyakazi tu.
Kweli still hapo anaweza akajifunza akawa vizuri.
Wala ajui kupika nguo pia akifua azitakatiMmh. Sio bure una lako jambo Mkuu.
Wiki mbili zilizopita chai ya maziwa kaiunga na ndimu.Na wengi huwa wanaathiriwa na hiyo hali ya kufanyiwa jambo na wasaidizi wa ndani.
Umeonaee. Kama hajamchoka na bado anamuhitaji nadhani sio mbaya akampa nafasi ya kumfundisha au kumtafutia wa kumfundisha namna ya kupika chakula chenye muonekano wa kueleweka na kilichoungwa vyema pia
Uzuri wake heshima na adabuMmh. Kwani wewe uliangalia vigezo gani mpaka ukamuweka ndani?
Tafta house girl au mfundishe mwanamke ni kama mtoto utakavyomfunza ndivyo mtakavyoishi ila kufukuza mwanamke kwasababu ya chakula utakuwa umekosea sana.Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
Unaulizia embe kibada tenaBasi mwache.
Mwanamke nzima ajui kupika noma kweli![emoji23][emoji23]
Tayari mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mrudie tu mkeo bwana.
Mwanamke ni kama mtoto hata akiwa na miaka 50 unamkunja anafata maelekezo mwanamke ni kama gari unaendesha unakotaka wewe dereva sasa kazi kwako unaingiza korongoni au vyovyoteSamaki mkunje bado mbichi mkuu
impongo: ngumu mkuuTafta house girl au mfundishe mwanamke ni kama mtoto utakavyomfunza ndivyo mtakavyoishi ila kufukuza mwanamke kwasababu ya chakula utakuwa umekosea sana.
Hivi ndio mhimu kwa mwanamke mengine anaelekezwa mvumilie tuUzuri wake heshima na adabu