Hii kasheshe kubwa

Hii kasheshe kubwa

impongo: ngumu mkuu
Kama umemwacha umefanya makosa maana kitu cha mhimu kwa mwanamke ni kujiheshimu mengine anafsta maelekezo.

Binafsi hata kama hajui kupika nitamfundisha hata kufua nitamfundisha chochote ninachotaka nitamwelekeza kikubwa ajiheshimu na aniheshimu
 
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi tu, jana kapika mihogo kaiunga na nyanya bila nazi akaipondaponda Sijawai kwa kweli kula hivyo nafanya mpango nimrudie mke wangu mpendwa niliozowea mapishi yake matamu
VETA ipo kwa ajili ya jamii kama iyo
 
U seem to be good kwenye upishi hajar,wa ubavu wako atakuwa anafaidi mapishi yako..

Mwanamke atafute atamtu amlipe amfundishe
Hahahaaaa. Sio kwa kuota uko. Lol. [emoji85] [emoji85]. Anafaidi kabisaaaaa.
 
Back
Top Bottom