Hii kasi ya ndoa za sogea tuishi imekuwa kubwa sana, kwanini watu hawafungi ndoa rasmi?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke.

Wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k.

Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.
 
wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k.

Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.

Liability mzee...
 
Unakutana na binti mdogo ila ana shimo la tewa, kitandani fundi na ana pumzi kuliko Fei Toto. Utapata wapi ujasiri wa kumtambulisha au kufunga nae ndoa wakati unajua lolote linaweza kutokea wakati wowote
 
Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke.

Wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k.

Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.
Maana ya ndoa ni nini mkuu?
 
Kwani unaelewa maana ya meno "ndoa"? miskitini au makanisani kufanya nini wakati tayari tumeshakubaliana sisi wenyewe kwa hiari yetu na bila kushurutishwa na mtu kuishi pamoja. Mimi nina mke na nishaapa sitakwenda kanisani au msikitini eti kufunga ndoa! Kwa hiyo nikifunga ndoa huko akiamua kuniacha si ataniacha tu?
 
Back
Top Bottom