Hii kasi ya ndoa za sogea tuishi imekuwa kubwa sana, kwanini watu hawafungi ndoa rasmi?

Mbona imeeleweka...yaani mtu unakuwa naye ila unajua anytime mnaweza kuachana kutokana na tabia zake...so kwanini ukafanye harusi rasmi mambo ya Talaka tena huwa process
Wala sio sababu, watu wanazeeshana kwa mtindo huohuo
 
Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke.

Wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k.

Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.
we pia umefanya hivyo?
 
Sogea tuishi La-Azizi ini mkalia nyonga na Sasa nimekupa nafasi ya kukalia ubongo na Moyo wangu
 
Back
Top Bottom