Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke.
wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k.
Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.
Hmm haujaelewa mada🫢Unakutana na binti mdogo ila ana shimo la tewa, kitandani fundi na ana pumzi kuliko Fei Toto. Utapata wapi ujasiri wa kumtambulisha au kufunga nae ndoa wakati unajua lolote linaweza kutokea wakati wowote
Hasa ukikosea kuchagua mwenza wako 😆😆😆Mkishafikishana tu kanisani sijui msikitini matatizo hayaishi🙌🏾
Kila kitu kinageuka shubiri🙌🏾Hasa ukikosea kuchagua mwenza wako 😆😆😆
Sijui huwa kinatokea niniMkishafikishana tu kanisani sijui msikitini matatizo hayaishi🙌🏾
Hakika kabisa ndg.Kila kitu kinageuka shubiri🙌🏾
Ni swali kila mtu anajiuliza!Sijui huwa kinatokea nini
Maana ya ndoa ni nini mkuu?Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke.
Wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k.
Miaka mingi inapita bila kufunga ndoa rasmi kanisani, msikitini wala bomani, hawana cheti cha ndoa.
Mkuu ulipita njia hiyo nini? maana umeisifia sana hii ya sogea tuishi.Huko kanisani, msikitini au bomani ni formalities tu, mkishakubaliana wawili na kuanza kuishi pamoja, hiyo tayari ni ndoa..tena takatifu!!
Mbona imeeleweka...yaani mtu unakuwa naye ila unajua anytime mnaweza kuachana kutokana na tabia zake...so kwanini ukafanye harusi rasmi mambo ya Talaka tena huwa processHmm haujaelewa mada🫢
ChaiMkishafikishana tu kanisani sijui msikitini matatizo hayaishi🙌🏾