Hii kasi ya ndoa za sogea tuishi imekuwa kubwa sana, kwanini watu hawafungi ndoa rasmi?

Mbona imeeleweka...yaani mtu unakuwa naye ila unajua anytime mnaweza kuachana kutokana na tabia zake...so kwanini ukafanye harusi rasmi mambo ya Talaka tena huwa process
Wala sio sababu, watu wanazeeshana kwa mtindo huohuo
 
we pia umefanya hivyo?
 
Sogea tuishi La-Azizi ini mkalia nyonga na Sasa nimekupa nafasi ya kukalia ubongo na Moyo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…