Hii kasi ya ujenzi wa bararara ya njia nne Mwanza- Usagara ni sawa?

Hii kasi ya ujenzi wa bararara ya njia nne Mwanza- Usagara ni sawa?

Hapa tatizo linalojitokeza ni kuanza miradi mipya kabla ya kumaliza Ile ya zamani. Miradi inarundikana hata haijulikani upi ni upi. Mawaziri husika hudaganywa kuwa kazi inaendelea na wafanyapo ziara Wakandarasi huwekwa vifaa vyao kazini ila wakiondika vinarudishwa camp. Kibaya zaidi ni kutoa taarifa za uongo kwamba mradi umefikia asilimia 95 ilhali hata kwa macho hizo 20 hazifiki. Hali hii inatisha na si salama kwa maendeleo ya Taifa.
Nafikiri hawa mawaziri wanafanya kinyume, sio kudanganywa bali wana hadaa wananchi. Haiwezekani kuwa hawana taarifa ya kinachoendelea huku chini. Wao na ndugu na jamaa zak wanaishi wapi?
 
Nilidhani kwa Mwanza SGR ujenzi bado umepamba moto,unaenda kwa awamu.

Nilipita maeneo ya Isaka-Shy ni kama mradi umeshatelekezwa tuta linamomonyoka tu.
 
Nilidhani kwa Mwanza SGR ujenzi bado umepamba moto,unaenda kwa awamu.

Nilipita maeneo ya Isaka-Shy ni kama mradi umeshatelekezwa tuta linamomonyoka tu.
wahusika wamegoma kutoa maelezo ya nini kinachoendelea na kupelekea kukwama kwa miradi hii.
 
Back
Top Bottom