Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Sasa watu wakiongelea zinaa na ushoga wewe kinakuuma nini?
Nyeti zako zimetumika huko kwenye ushoga? 😹😹😹

Huna ego yoyote wewe uko mpweke na una bipolar inakusumbua..!! Wahi matibabu

Huwezi kuforce watu wawe unavyotaka wewe wakati huo wao pia wanakuona wewe hauko sawa..!!
 
Am just saying the truth..

Na ukweli hua ni muki mbaya kwa wajinga..

Yes, am a lone wolf 🐺 sihitaji watu feki. Na sina haja ya kutaka Nipendwe because I'm enough from inside... Anipendae anajua kabisa hilo so hata akisepa siwezi umia

Sija force kitu.. Mimi niko vile jamii haiko na it's such a wonderful thing
 
Sehemu sahihi ni kila mahali walipo watu, kwani wamo walio na upweke na matatizo ya kila aina.
OK I get you...

I mean I might be comparing jf ya zamani ambayo ilikuwa na watu wenye uwezo kiakili na wenye wameusoma(who could afford the internet) ila leo kuna mchanganyiko wa kila mtu
 
Ulishasema una tatizo la kukosa upendo hivyo tunakuchukulia kama ulivyo.!!

Lakini suala la wewe kuwapangia watu nini cha kufanya wakati huo wewe hawakupangii huo ni ugonjwa mwingine sasa..!!
 
Ulishasema una tatizo la kukosa upendo hivyo tunakuchukulia kama ulivyo.!!

Lakini suala la wewe kuwapangia watu nini cha kufanya wakati huo wewe hawakupangii huo ni ugonjwa mwingine sasa..!!
Ilikuwa zamani na ilinifanya niwapush wanipendao aside

Saizi niko vyema na upendo uko nami kutoka kwa wengine nna kwangu mwenyewe pia
 
All i see ni kuwa hujaaccept changes zilizotokea,era imebadilika vitu unavyofikiri vya kipuuzi ndo vinapata airtime social media.
Huwezi control nini watu wapost ila unaweza control nini uone au ufatilie.
 
Ukitaka kupigana njoo, njoo sasa nikuonyeshe shoo, mie mambo yangu kwa vitendo oooooooh........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…