Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?

Kumbe toka kitambo magezeti yetu yalikua yanaandika madudu 😅
Hii haikuwa madudu. Hizi zilikuwa ni nyakati za vuguvugu la itikadi za Nyerere na umajumui wa Kiafrika (Pan Africanism). Kuvaa suti za Kimagharibi kulianza kuchukuliwa kama ishara za ubwanyenye, ukoloni mamboleo na utwana wa kifikra. Hivyo vijana hawa wa Nyerere kukwea pipa kwenda Ulaya bila kutinga suti na tai kulichukuliwa kama ishara ya uzalendo na Uafrika uliotukuka. Ndiyo maana kuliandikwa mpaka magazetini.
 
Reaction nyingi si lazima ziwe na thamani ya kifedha kwa commenter. Mara nyingi thamani yake ni attention, influence, recognition, na kujenga audience.
Audience kwenye upuuzi?.

Influence gani inapatikana kwenye memes?
 
And that was soo trendy enzi hizoo Nakumbuka magazeti tulikuwa tunachukua ya week nzima kabisa then tu naanza kula content.. 😂 Miaka ya 60 hiyoo
 
Audience kwenye upuuzi?.

Influence gani inapatikana kwenye memes?
Ndiyo 😄. Audience inaweza kujengwa hata kwenye upuuzi, kwa sababu mitandao mara nyingi hu-reward attention kuliko ubora wa hoja.
Mtu anaweza kusema jambo la kipuuzi, la kuchochea au la kubishaniwa sana → watu wanamjibu → anapata reactions nyingi → comment yake inaonekana kwa watu wengi zaidi → anapata followers/audience.
Kwa hiyo, reaction nyingi hazimaanishi comment ina akili au ina ukweli. Wakati mwingine zinamaanisha tu kwamba mtu amegusa hisia za watu.
 
Sasa jf je, a home of great thinkers!

Is that applicable? Si ujinga tuu, infact hata monetization yenyewe haipo
 
Sasa jf je, a home of great thinkers!

Is that applicable? Si ujinga tuu, infact hata monetization yenyewe haipo
JF is “A Home of Great Thinkers,” not a home of people competing for reactions. A comment getting hundreds of reactions doesn't necessarily make it intelligent, factual, or useful.
If there is no monetization attached to those reactions, then chasing them simply becomes a pursuit of attention and validation.
 
"Laughter is the Best Madicine".
 
AI kwenye moja na mbili...
Na imetoa majibu sahihi
 
Watu wajinga wasiojiamini
 
Cha kujifunza unapoleta mada yako humu ni kudeal na comments unazoona zinaendana na mada yako. Alafu kuna majukwaa ya kuweka mada ambazo zinahitaji umakini wa wachangiaji. Uweke mada chit chat au MMU alafu utegemee umakini.
These people hawachagui hakuna maana ya forums siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…