Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!
Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!
Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani kutokuzingatia sheria na kuwaachia madereva wazembe na magari mabovu navyo ni vifo tu!
Kimsingi vifo vingi Tanzania ni kutokana na mifumo mibovu iliyowekwa na serikali yenyewe, kwamba hivi vifo ni vifo tu!
Kwamba Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe mwaka 2017 kule Dodoma angekufa pia nacho kingekua kifo tu!
Ali Kibao alishushwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na watu wenye silaha waliotambulisha kama polisi. Mwisho wa siku akapatikana akiwa maiti. Nacho tuite ni kifo tu?!
Pia soma:Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa