Kupona kwa SATIVA ilikuwa ni ishara mbaya kwao,ile kulipia matibabu yake,ilibeba ujumbe wa onyo kwa yeyote [koma na uijue mipaka yako].Yaani huyu mama sijui hata nimuitaje. Kuna vifo ambavyo victim anakuwa ameugua muda mrefu takribani miaka minne hivi, mgonjwa kama huyu utamlinganisha na kifo cha Ally Mohamed Kibao? Sativa angekufa, tumshukuru Mungu alifanya maajabu yake kifo chake kingekuwa ni cha kawaida tu? Jamani ulevi wa madaraka ni kitu kibaya sana. Mwanamke mchawi ni mbaya sana maandiko yanasema hatakiwi kuishi kabisa. Asante sana Mungu wetu tumewajua.
Tamko la chadema[la maandamano]limewaibua kwa nguvu kulinda nakutetea madaraka yao kwa kisingizio cha kulinda amani ya nchi.