Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!

Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!

Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani kutokuzingatia sheria na kuwaachia madereva wazembe na magari mabovu navyo ni vifo tu!

Kimsingi vifo vingi Tanzania ni kutokana na mifumo mibovu iliyowekwa na serikali yenyewe, kwamba hivi vifo ni vifo tu!

Kwamba Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe mwaka 2017 kule Dodoma angekufa pia nacho kingekua kifo tu!

Ali Kibao alishushwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na watu wenye silaha waliotambulisha kama polisi. Mwisho wa siku akapatikana akiwa maiti. Nacho tuite ni kifo tu?!

Pia soma:Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Ipo hatari kubwa sana hapa nchini kwa sasa.

Ukiona kiongozi mkubwa katika nchi anachukulia vifo vya kuuawa kwa raia wake kuwa ni kitu rahisi tu, basi ujue kwamba kuna mipango mikubwa zaidi ipo mezani inayotakiwa kutekelezwa. Ni hatari sana, kwa sababu haijulikani ni nani hasa atakayefuatia katika kuuawa.
 
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!

Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!

Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani kutokuzingatia sheria na kuwaachia madereva wazembe na magari mabovu navyo ni vifo tu!

Kimsingi vifo vingi Tanzania ni kutokana na mifumo mibovu iliyowekwa na serikali yenyewe, kwamba hivi vifo ni vifo tu!

Kwamba Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe mwaka 2017 kule Dodoma angekufa pia nacho kingekua kifo tu!

Ali Kibao alishushwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na watu wenye silaha waliotambulisha kama polisi. Mwisho wa siku akapatikana akiwa maiti. Nacho tuite ni kifo tu?!

Pia soma:Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Hamna rais mle.
 
Huyo rais yupo misinformed sana nachelea kusema uelewa sababu ya nafasi yake. Hisia za watu siyo sababu ya kifo cha Ally Kibao, kwenye kifo cha Ally Kibao ile ni breaking point kwamba watu wamesema sasa basi.
Hii inaonyesha watu wake wanamficha taarifa za matukio mengi yanayotokea.
Kingine, kosa kubwa sana amelifanya kwenda kutoa kauli zake za 'kishujaa' kwenye event ya washukiwa wakuu wa mauaji hayo. Hii ni kuwapa kichwa Polisi kuendelea kufanya wafanyayo. Hilo kosa linaenda kuchafua nchi big time
Misinformed ?????
 
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!

Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!

Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani kutokuzingatia sheria na kuwaachia madereva wazembe na magari mabovu navyo ni vifo tu!

Kimsingi vifo vingi Tanzania ni kutokana na mifumo mibovu iliyowekwa na serikali yenyewe, kwamba hivi vifo ni vifo tu!

Kwamba Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe mwaka 2017 kule Dodoma angekufa pia nacho kingekua kifo tu!

Ali Kibao alishushwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na watu wenye silaha waliotambulisha kama polisi. Mwisho wa siku akapatikana akiwa maiti. Nacho tuite ni kifo tu?!

Pia soma:Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Hamna rais mle.
Kwa Mimi nilivyo elewa hata akif@ yeye ni $aw©
Issue si kufa, bali unakufaje?
 
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!

Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!

Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani kutokuzingatia sheria na kuwaachia madereva wazembe na magari mabovu navyo ni vifo tu!

Kimsingi vifo vingi Tanzania ni kutokana na mifumo mibovu iliyowekwa na serikali yenyewe, kwamba hivi vifo ni vifo tu!

Kwamba Lissu aliyepigwa risasi mchana kweupe mwaka 2017 kule Dodoma angekufa pia nacho kingekua kifo tu!

Ali Kibao alishushwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na watu wenye silaha waliotambulisha kama polisi. Mwisho wa siku akapatikana akiwa maiti. Nacho tuite ni kifo tu?!

Pia soma:Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Kauli ya "kifo ni kifo tu" mbona ipo very clear? Au kuna kifo ambacho siyo kifo?
 
Hapa dawa ni ubani mashtaka tu...........mpaka acheme yote
 
Naona kama vile hajaelewa kinacholalamikiwa.

Mzee Kibao angekufa akiwa amelala nyumbani kwake, kusingekuwepo hayo yanayosemwa.

Lakini mtu anaponyakuliwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni polisi halafu baadaye mwili wake unapatikana ukiwa na majeraha, unataka watu wasemeje sasa?

Bure kabisa!
pale hamna kiongozi mkuu nashangaa tu wanavyomtaja mara elfu tatu kwa siku kuliko hata wanavyomtaja Mungu , ila mwisho wake utakuwa mbaya sana mark my post.
 
UChawa ni mbinu za kumpumbaza kiongozi na zilianza awamu iliyopita!ukiona hivyo ujue werevu Wana jambo lao!!
 
Kauli ya "kifo ni kifo tu" mbona ipo very clear? Au kuna kifo ambacho siyo kifo?
No, you are wrong.

Huyo mama yako alikosea Sana kutoa kauli chafu kama hiyo kwenye suala hili ambalo ni sensitive Sana. Kauli hii ina madhara hasi mengi Sana na makubwa Sana katika jamii ukizingatia kwamba yeye ni Rais wa nchi hii.

Kwa maoni yangu, yafaa tumkemee huyo mtu ili aache kutoa kauli chafu za namna hii. Yeye ni Kiongozi wa nchi, muda wote anapaswa kutoa kauli zenye heshima mbele za watu. Kuongoza ni kuonyesha njia!

Miaka ya nyuma pia aliwahi kutoa kauli chafu ya kuibeza Katiba ya nchi na kuiita kuwa ni "kijitabu tu!".
Kauli chafu za namna hii hazipaswi kutamkwa na mtu mwenye hadhi kubwa sana namna hiyo ya uRais, anatoa mfano mbaya Sana kwa Wananchi.
 
Back
Top Bottom