Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

Kupona kwa SATIVA ilikuwa ni ishara mbaya kwao,ile kulipia matibabu yake,ilibeba ujumbe wa onyo kwa yeyote [koma na uijue mipaka yako].
Tamko la chadema[la maandamano]limewaibua kwa nguvu kulinda nakutetea madaraka yao kwa kisingizio cha kulinda amani ya nchi.
 
Anafichwa hasikiii na kuona..? Kupitia media nk wapinzan wamesema hajasikia na kuona haya..? Kuna mambo hayataki utani
 
amebariki yanayoendelea..?
 
Hakika
 
amebariki yanayoendelea..?
Ndivyo tunavyoweza kutafsiri kauli/hotuba yake leo, kwasababu ikiwa aliweza kuona/kupata taarifa za kwenye mitandao watu wakilaani haya matukio,ni wazi kuwa hata tuhuma za polisi kuhusika, pamoja na baadhi yao kutajwa kwa majina yao,aliyaona pia,ila hizo habari hazikuwa na uzito kwao ukulinganisha na mipango ya chadema.INASIKITISHA SANA.... JPMAGUFULI aliwahi kusema [kwenye uzinduzi wa stendi MAGUFULI]
''WAKATI MWINGINE TUJILAUMU KWA KUKOSEA KUCHAGUA''.
 
Inamaanisha mtoa kauli ni kiazi
 
Wale wale. Basi yeye ndio bwana heri hivo mbuzi wa bwana heri wamekula mazao ya watu.
 
Wazee wetu tuliowapinga mlipotaka kuvunja KATIBA tunaomba mtusamehe sana.
mafundisho ya mtume kuhusu mwanamke kuwa kiongozi yalikuwa kweli.
 
🔨🔨👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAB2PINhdMY/?igsh=eXM2bmp1ejFsbWxt
 
Katoa boko kwa mara nyingine tena. Mtakumbuka boko lake la kwanza kuwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Poor mis- guided tongue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…