Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

Ipo hatari kubwa sana hapa nchini kwa sasa.

Ukiona kiongozi mkubwa katika nchi anachukulia vifo vya kuuawa kwa raia wake kuwa ni kitu rahisi tu, basi ujue kwamba kuna mipango mikubwa zaidi ipo mezani inayotakiwa kutekelezwa. Ni hatari sana, kwa sababu haijulikani ni nani hasa atakayefuatia katika kuuawa.
 
Hamna rais mle.
 
Misinformed ?????
 
Hamna rais mle.
Kwa Mimi nilivyo elewa hata akif@ yeye ni $aw©
Issue si kufa, bali unakufaje?
 
Kauli ya "kifo ni kifo tu" mbona ipo very clear? Au kuna kifo ambacho siyo kifo?
 
Hapa dawa ni ubani mashtaka tu...........mpaka acheme yote
 
pale hamna kiongozi mkuu nashangaa tu wanavyomtaja mara elfu tatu kwa siku kuliko hata wanavyomtaja Mungu , ila mwisho wake utakuwa mbaya sana mark my post.
 
UChawa ni mbinu za kumpumbaza kiongozi na zilianza awamu iliyopita!ukiona hivyo ujue werevu Wana jambo lao!!
 
Kauli ya "kifo ni kifo tu" mbona ipo very clear? Au kuna kifo ambacho siyo kifo?
No, you are wrong.

Huyo mama yako alikosea Sana kutoa kauli chafu kama hiyo kwenye suala hili ambalo ni sensitive Sana. Kauli hii ina madhara hasi mengi Sana na makubwa Sana katika jamii ukizingatia kwamba yeye ni Rais wa nchi hii.

Kwa maoni yangu, yafaa tumkemee huyo mtu ili aache kutoa kauli chafu za namna hii. Yeye ni Kiongozi wa nchi, muda wote anapaswa kutoa kauli zenye heshima mbele za watu. Kuongoza ni kuonyesha njia!

Miaka ya nyuma pia aliwahi kutoa kauli chafu ya kuibeza Katiba ya nchi na kuiita kuwa ni "kijitabu tu!".
Kauli chafu za namna hii hazipaswi kutamkwa na mtu mwenye hadhi kubwa sana namna hiyo ya uRais, anatoa mfano mbaya Sana kwa Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…