Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Unajua mara nyingi watawala hawatoi amri ya kuua.Wanajamvi,
Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.
“Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”
Aliongeza kwa kusema:
Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini
Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?
View attachment 3107207
Anapokua na watu wake wa usalama au polisi anasema tu, yaani ningekuwa na uwezo (fulani huku akimtaja) ningemtupilia mbali aliwe na fisi. Sema tu nina hofuu ya Mungu.
Kinachofuata hapo sasa. Jamaa wanaajiongeza wanaamshughulikia maana wanajua anamsababishia usumbufu bwana mkubwa...
Ndicho kilichomkuta lissu.