Hii kauli ya Magufuli masaa kadhaa kabla ya Tundu Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 inafikirisha sana!

Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Unajua mara nyingi watawala hawatoi amri ya kuua.
Anapokua na watu wake wa usalama au polisi anasema tu, yaani ningekuwa na uwezo (fulani huku akimtaja) ningemtupilia mbali aliwe na fisi. Sema tu nina hofuu ya Mungu.
Kinachofuata hapo sasa. Jamaa wanaajiongeza wanaamshughulikia maana wanajua anamsababishia usumbufu bwana mkubwa...
Ndicho kilichomkuta lissu.
 
Jamiiforums hutanui mpaka?

Masaliti ya nchi, siko zote ni ya kuangamizwa tu, no exceptions.

Anyway, yaani Uzi huu una uthibitishia Watanzania kuwa ni kweli Lissu ndie msaliti wa nchi hii? Je, Ni Hayat Rais aliiyetuma watu?

Hapana
.

Msaliti anafanyweje?

Nchi hii ni lazima irudi kwa wenyewe.

Magulification must go on.
 
Angekuwa hai nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo
Hata haya maendeleo wanayosema yana onekana, ni kwa sababu za juhudi zake madhubuti, uongozi mahiri, na maono ya mbali.

Hayat Rais Magufuli atabakia kuwa Raisi mwenye maono.

"Watanzania mbadilike, badilisheni hoyo mind set"

===========
Ni kwa maono ya JPM, CCM inaenda kuchukua madaraka ya serikali kwa miaka mitano mingine.🕺🏼
 
Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Mungu akamuwahisha kizembe sana
 
Aisee
 
Muuaji kafa kifo kibaya sana. Nilisema hapo kabla huyu uchwara atatangulia kabla ya Lisu na nikawa ninauhakika toka rohoni na ndivyo ilivyokuwa. Mshamba na muuaji alifikiri yeye ndio wa kwanza kuwa raisi na kwamba wananchi ni kama kuku wa Banda lake anafanya atakavyo. Mungu yupo kweli na aliyetuma watu kumuua mzee Kibao hayupo salama atakufa kwa uchungu mwingi
Kwaihiyo Lissu ndiye msaliti aliyekuwa anazunguzwa na Magufuli?kama ni hivyo basi bora alivyopewa onyo maana hauwezi saliti taifa lako ambalo limemsomesha bure kwa kodi za wananchi alafu ukaanza kuwasaliti,hata kama yupo hai bado mwisho wake sio mzuri.
 
Hata Adolf Hitler watu bado wanaendelea kumkumbuka hadi leo hii. Hata Benito Mussolini watu bado wanaendelea kumkumbuka hadi leo hii. Kwa nini wewe unaona haifai sisi kuendelea kumkumbuka huyo mtu wako?
Ķiafrika mtu akiisha tangulia mbele ya haki, anazikwa na mabaya yake yote, tunabaki na mema yake tuu, hivyo marehemu hasemwi kwa ubaya, anasemwa kwa mema tuu!.

Ndio maana Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani.
P
 
Wanajamvi,

Nikiwa X leo nimekutana na video clip ya the late Magufuli akimuongelea mtu ambaye alimuita kama "Mpiga Kelele" ambaye kwa maneno yake alikuwa ni adui wa serikali kwenye vita ya kiuchumi na kwamba at some point serikali ili-trap simu ya adui huyo na baada ya kutrap walikuta adui huyo anaandika meseji Mwanyika.

Yupo mmoja mpigaji kelele kweli. tulipojaribu ku trap zile simu zake kila siku anaandika meseji hadi kwa Mwanyika. Nataka data hii, tulipopata print out that's the government”

Aliongeza kwa kusema:

Vita ya uchumi ni mbaya kuliko ya kawaida. Vita ya kawaida adui unamwona. Sasa nyingine msaliti anapowasaliti kwenye vita ya kawaida maaskari huwa wanajua wanafanya nini

Mnadhani huyu adui aliyekuwa anamsema ni nani?

View attachment 3107207
Mungu kaamua ugovi.
 
Back
Top Bottom