Da kazazi hiki ko kila ukionyesha msimamo kama mwanaume kwa mke wako unagongewa. Bac wanaume tuwe mazuzu ili tusigongewe daaAnachukizwa na tabia zako za ulevi. Kaa chini na mke wako myamalize, ukileta ubabe utmpoteza ama kugongewa kwa kasi ya 4g
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimamo wa ulevi? Ni msimamo gani unauongelea?Da kazazi hiki ko kila ukionyesha msimamo kama mwanaume kwa mke wako unagongewa. Bac wanaume tuwe mazuzu ili tusigongewe daa
Yeye hajasema ni mlevi ila anakunywa.mwanamke anatakiwa awe na busara jinsi ya kumshauli kuhusu.ataanza pombe ataanza lingine.akihoji kama mwanaume kauli bac kosa .mwanamke anaenda kugongwa kweli wanawake wana nguvu sana
Msimamo wa kung'ang'ania kuwa mlevi huo siyo msimamo ni upumbavu,misimamo yenye tija ndani ya nyumba ni kama “nimesema huyu mtoto atasoma shule fulani,nimesema nyumba hii ni gharama sana lazima tujibane na sisi tujenge yetu,gari kwa sasa bado wakati wake kununua etc”.Da kazazi hiki ko kila ukionyesha msimamo kama mwanaume kwa mke wako unagongewa. Bac wanaume tuwe mazuzu ili tusigongewe daa
Kwa hiyo aanze kushinda vijiweni anabugia kahawa kwa kashata?Au aanze kucheza bao aachane na "bia"?Hivi msiokunywa bia huwa mnaichukuliaje "bia"?