Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Anamaanisha acha ulevi.
Simple.
Simple.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ulevi mkuuHello watanzania wenzangu!
Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%.
Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick.
So last weekend wife alitoa kauli flani ambayo ingawa nilikua nimelewa ila ilinifikirisha sana,wife alisema kwamba hataki mtu mlevi ndani kwake. Na ikumbukwe hapo ndani mnywaji ni mimi tu.
Nikaona kabla ya kumzaba makofi niwaulize wadau, huyu mke wangu alikua na maana gani hivi?
Walevi wanateteanaYeye hajasema ni mlevi ila anakunywa.mwanamke anatakiwa awe na busara jinsi ya kumshauli kuhusu.ataanza pombe ataanza lingine.akihoji kama mwanaume kauli bac kosa .mwanamke anaenda kugongwa kweli wanawake wana nguvu sana
Huyu siyo mlevi elewa hoja zake na kauli za mke wakeMsimamo wa kung'ang'ania kuwa mlevi huo siyo msimamo ni upumbavu,misimamo yenye tija ndani ya nyumba ni kama “nimesema huyu mtoto atasoma shule fulani,nimesema nyumba hii ni gharama sana lazima tujibane na sisi tujenge yetu,gari kwa sasa bado wakati wake kununua etc”.
Wakati wote ukishakuwa mume unatakiwa uwe na hoja kumzidi mkeo utashangaza umati mkeo kukukalisha vikao kwa ndugu akilalamikia tabia zako za ulevi na wewe kuonyesha kuridhika nazo ila ikiwa ni vikao kuhusu misimamo yako ya kimaendeleo hakuna atakayemsikiliza.
Mkuu pombe ikikaa damuni ni disaster usichukulie poa, kuna dingi mmoja alikuwa akilewa anatoka nje na chemli, usiku wa manane, na yuko uchi wa mnyama, atatukana majirani wote alafu anarudi kulala, kesho ukikutana naye kama sio yeye na ni mstaarabu sana, ukiambiwa utasema wanamsingizia
Wewe unaishi naye?hata kama anakunywa zipo dalili anakunywa kiasi anakuwa kero kwa mwenza wake ndani.Huyu siyo mlevi elewa hoja zake na kauli za mke wake
Ww ni mlevi na mlevi na km Mbwa tuHello watanzania wenzangu!
Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%.
Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick.
So last weekend wife alitoa kauli flani ambayo ingawa nilikua nimelewa ila ilinifikirisha sana,wife alisema kwamba hataki mtu mlevi ndani kwake. Na ikumbukwe hapo ndani mnywaji ni mimi tu.
Nikaona kabla ya kumzaba makofi niwaulize wadau, huyu mke wangu alikua na maana gani hivi?
Sawa ambaye upo kwa uyo mnywaji kwa jinsi tbl wanavyo zalisha bia bac ndo nyingi zipo matatani wengi watafukuzwaWewe unaishi naye?hata kama anakunywa zipo dalili anakunywa kiasi anakuwa kero kwa mwenza wake ndani.
Ukweli ukishafikia hatua mkeo anakutahadharisha juu ya unywaji wako jua kuna kipengele umekivuka kama mnywaji.
Basi akashinde baaa aone kama anaijenga ndoa yake ama anaibomoa.Kwa hiyo aanze kushinda vijiweni anabugia kahawa kwa kashata?Au aanze kucheza bao aachane na "bia"?Hivi msiokunywa bia huwa mnaichukuliaje "bia"?
Mama kasema acha pombe baba kipepe husikiiKeshasema hataki mtu mlevi NDANI KWAKE!
Huyo jamaa hajielewiMsimamo wa kung'ang'ania kuwa mlevi huo siyo msimamo ni upumbavu,misimamo yenye tija ndani ya nyumba ni kama “nimesema huyu mtoto atasoma shule fulani,nimesema nyumba hii ni gharama sana lazima tujibane na sisi tujenge yetu,gari kwa sasa bado wakati wake kununua etc”.