Hii kauli ya mke wangu ina maana gani?

Kwani alikutoa wapi kabla ya kukuleta hapo kwake?
 
Angekua na uwezo wa kukuzaba vibao tayari angekuzaba, basi vumilia maana hizo ndio Changamoto za kuishi na mtu mzima mwenzio.
 
Mkiminywa kengele mnaona kama mmeonewa kumbe mnadeserve kabisaa!
 
Nahisi utakuwa bado umelewa. Ulevi ukiisha utaelewa alikuwa na maana gani?
 
Sasa usichoelewa hapo nini? Au huyo mke ulipewa bure[emoji16]
 
Ni kweli ni haki yake kupenda ulevi lakini wakati anakubali kuolewa na wewe hakujua kama wewe u mlevi,hayo ni makosa yake awajibike
 
Nenda kaiangalie hati ya nyumba mnapoiwekaga kama ipo, then uje unishukuru.
 
Muulize kati ya yy na pombe nani kamkuta mwenzakee...kama ni yy bac acha kupga masangaa..ali kama kazikuta pombe aendelee kuziheshimu kama anavyoheshimu wakwe
 
Ukitaka uendelee na ulevi na akupende fanya hivi

Ukinywa uwe mkimya usifanye vituko visivyo na akili

Ukinywa mmwagie pesa , mpe pesa mpe zawadi .

Ukiwa hujalewa uwe bahili pindukia yaani Yule bahili WA mabahili


Atakununulia au kukusindikiza ukanywe yeye mwenyewe

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji176]
 
Kulewa wengi tunalewa stimu tunarudi nazo nyumbani kiaina , na kufikia kulala
 
Acha kujitoa ufahamu!!! Acha ulevi udumishe ndoa yako.

 
Walevi huwa mnaect hamuelewi kitu mkilewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Lakini likizungumza jambo lakukukera ndio mnataka kuwapiga wake zenu.

Pombe ni starehe kwa mlevi,, hivyo kwaasiyekunywa pombe kwake nikero tena kero kubwa sana interm ya harufu lakini pia usumbufu mnaowapatia watu mkishalewa.

Mke wako yuko sahihi,. Maana unachokitumia ww kinamkera kwahiyo hebu tafta namna yakujipatia starehe yako bila kuwabugudhi wanaokuzunguka.
 
Mbona wanawake mnawafanya kuwa kama watu wa makosa kila siku jamani, wanawake wameumbwa hawawezi kusema kitu moja kwa moja tuwazoee hayo maneno alikua anafikisha ujumbe kwako kwamba upunguze ulevi ni hatari kwa afya kwa upendo kwakwambia hivo lakini lishetani lako linakutuma kwamba atakuua kisa ulevi wako. Acheni hzo wadau kwa upande wangu wanawake nawakubali sana japokua wameumbwa kama Asset kwa sisi wanaume lakini sio sababu za kuchukulia kila kitu watakacho kisema Negativity..
 
Ukitoka hapo unakuja na nyuzi nyingine mke wangu hanijali anamchepuko kumbe kisababishi ni wewe mwenyewe,acha pombe
 
Mlikutana ukiwa unakunywa kama unavyokunywa sasa? Hapo ndipo tatizo linapoanzia ila kama mlikua mnaficha kucha kabla hamjakutana Hilo ndio tatizo zaidi
 
Unapokuwa unakunywa pombe peke yako hata kama ni kidogo,ile harufu ya pombe kwa asiyekunywa huwa ni kero,kwahiyo mkeo kakuvumilia sasa kafika mahali kachoka imebidi aropoke ya moyoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…