DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi .
Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk
Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani.
Lakini walipomfungia Haji Manara wazee na vijana wote walipaza sauti kuwa Manara is innocent* sasa kwanini wasipaze sauti tena kumuomba Mama aachee kuwakandamiza
Kiufupi Tatizo la nchi sio CCM wala CHADEMA tatizo ni Huwezo wa Watz kutokujitambua .
TUIPENDE NCHI YETU MAANA SISI TUTAPITA LAKINI TANZANIA ITABAKI🇯🇲