Hii kazi ya kuwaongoza Watu wa Tanzania ni ngumu Sana hivyo Mama anaangushiwa Jumba bovu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi .

Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk

Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani.

Lakini walipomfungia Haji Manara wazee na vijana wote walipaza sauti kuwa Manara is innocent* sasa kwanini wasipaze sauti tena kumuomba Mama aachee kuwakandamiza

Kiufupi Tatizo la nchi sio CCM wala CHADEMA tatizo ni Huwezo wa Watz kutokujitambua .

TUIPENDE NCHI YETU MAANA SISI TUTAPITA LAKINI TANZANIA ITABAKI🇯🇲
 
Upinge tozo zenye faida kwenye Nchi Kisa nini hasa?

Yaani Kwa mfano mimi naefanya miamala ya bank mara 2 au 4 Kwa mwezi niungane na wewe kwenda kupinga kukatwa hela chini ya 2,000?

Una akili timamu wewe? Hapo kwenye miamala ya simu kwa pesa ndogo tuu ya lakimoja unakatwa zaidi ya 5000 Sasa huko banks huoni kwangu Kuna nafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…