Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

Hii kesi ya DIDY MIMI naona imekaa kimkakati sana huenda ni Njia ya kuitangaza UGASHO duniani

Mr No fair

Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
84
Reaction score
122
Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili

Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya kuitangaza UGASHO Amerika haijawahi na haiwezi kuupinga Ushoga nachoamini ni Taifa linalo promote vyovyote vile sidhani kama hii ni kesi kweli

Ukiangalia watu wanaotajwa kutembea na DIDY ni wale maarufu sana!

Point ya kuwataja hao maarufu ni Ili watu waone ni kitu cha kawaida kwamba Hadi Fulani kafanya? Wanajua vijana wengi wanaiga life style ya hao watu kuanzia mavazi,muonekano na matukio mbalimbali

Si la kushangaa Hamis muuza mikaa hapo mtaani ukisikia akijiita African giant 😂😂 au Juma muuza maji.akijiita meek mill wa buza Nk
Ni rahisi huyu hamis kuiga UGASHO wa burna boy au Juma kuiga ugasho wa meek mill

Kwahiyo hii inshu ni matukio kama matukio mengine ya kuifanya Dunia Ione hili suala ni la kawaida sana watu wasiogope

Ukiangalia watu wengi walioattackiwa na hili suala hawaonyeshi kukataa kujibu au kupinga kuwa hawahusiki au wamesingiziwa au kuonyesha kuumizwa na haya matukio yanayohusishwa nao



Kwangu naona ni namna nyingine ya kuitangaza UGASHO DUNIANI
 
Back
Top Bottom