Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
By Baba Mwita kupitia twitter:

Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na jina BANDIA!
 
Jaji kimeo, alaaniwe afe azikwe na jiwe
 
By Baba Mwita kupitia twitter:

Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na jina BANDIA!
1. Ndugu Salary Slip Jaji kisheria yuko sahihi, na hukumu yake iko sahihi kisheria kwa sababu wamenyimwa nafasi ya kuthibitisha "ubandia" wa majina yao na yanayoonekana ktk DR ya Central Police DSM ni hayo wanayotumia kwenye kesi yao hapo mahakamani. Huko Mbweni in hayo pia...

2. Jaji tunaweza kumlaumu kwa jambo moja tu. Nalo ni kuukatilia upande wa utetezi kumtaka RPC wa vituo vya polisi hivi (TAZARA & MBWENI) nyaraka zilizoombwa na utetezi ambazo zingeweza kuthibitisha kwa nyakati hizo zinazotajwa Msemwa alikuwa anafanya kazi kituo gani...

Kwa maoni yangu, hili linacheleweshwa tu lakini RPC huyo atalazimika kuja kuthibitisha hilo huko mbeleni...
 
Back
Top Bottom