Hii kiitifaki imekaaje?

Hii kiitifaki imekaaje?

Si nchi ya kiislamu ni nchi yenye idadi kubwa ya waislamu
Misri ni chimbuko la Uislamu, ni mwanachama wa OIC, ni mwanachama wa Arab League. Kwa 90% ni Islamic Nation. (Ingawa hata Mozambique ni mwanachama wa OIC, pia Israel ni mwanachama wa OIC japo Wayahudi wako 75%, ila Israel imejiunga OIC kwa maslahi ya Kiulinzi na Usalama (kufanya ujasusi kwa nchi za Kiarabu ili iweze kukaa salama))
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Rais wa misri amekwenda Paris ufaransa anakohudhuria mkutano wa kimataifa unaohusiana na maridhiano.

Ila nimefurahishwa na hii picha, waziri mwandamizi wa nchi ya kiislamu mwanamama yeye kapiga suti rais wetu nchi ya kiafrika kageuka mwarabu.
Misri siyo nchi ya Kiafrika?
 
Misri ni chimbuko la Uislamu, ni mwanachama wa OIC, ni mwanachama wa Arab League. Kwa 90% ni Islamic Nation. (Ingawa hata Mozambique ni mwanachama wa OIC, pia Israel ni mwanachama wa OIC japo Wayahudi wako 75%, ila Israel imejiunga OIC kwa maslahi ya Kiulinzi na Usalama (kufanya ujasusi kwa nchi za Kiarabu ili iweze kukaa salama))
Sasa hapo nchi ya kiislamu imekujaje?na toka lini uislamu umeanzia misri? Uongo mtupu
 
Rais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
View attachment 2008034
Nchi nyingine viongozi wao wanakuwa bize na ratiba zao huku wakifanya delegation of chain of command... Si kama huku kwetu tukisikia kiongozi wa nchi nyingine anakuja basi inakuwa "public holiday" ya mapambo na ngoma zitaenda kupigwa kuanzia alfajiri hadi usiku wa manane!
Muhimu ni alienda Misri na yaliyompeleka ameyakamilisha. Kusindikizwa sasa inategemeana.

NB: Ukija kwangu muda wangu wa kuonana na wewe ukiisha hakika nitakuacha hapo uji-sort!
Na kama sikuwa na ratiba yako ndo sitakuja kabisa kukuona!
Mambo ni mengi! Muda mchache!
 
Huyo waziri kutoka nchi ya kiislamu mbona hajajitwisha mashuka kama huyu Mzanzibari?
Kwa hiyo yanakukera Sana.Ila kwa maelezo yake mwenyewe Rais Samia ameanza kuvaa ushungi baada ya kuingia kwenye siasa.wkt yupo kwenye mashirika ya mabeberu alikuwa anavaa kama huyo dada hapo.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom