Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
👇🏿
Ooh yani nimwambie wazi hivo sindio?[emoji1541]
ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia
Ndiyo maana yake.
Tuna muda hatujaonana ingawa tuko mkoa mmoja so alivonitafuta na kujifanya bado ana mapenzi kwangu nikaamua nimdadisi.sasa na ww ulitaka kujua kama ana mtu mwingne ili iweje?
Kama ni hvyo bas jua kaona huko halipo hapaeleweki akakumbuka kwako alivyokuwa ndio maana karudiTuna muda hatujaonana ingawa tuko mkoa mmoja so alivonitafuta na kujifanya bado ana mapenzi kwangu nikaamua nimdadisi.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
So hapa niishi nae kinafki au nimchane tu ajue maana lawama kila siku na mimi nshaona hanifai ingawa nna hisia sana juu yake ila kashafeli vigezo.kama ni hvyo bas jua kaona huko halipo hapaeleweki akakumbuka kwako alivyokuwa ndio maana karudi
Huwenda anakupima imani. Jifanye hujamind but mchunguze kujua km yupo serious au anazingua km itakuwa kweli piga chiniHabari wakuu,
Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya?
Ingawa mimi ndo nilimshawishi anambie ukweli kwamba sintomuacha ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia sana sitamani hata anitafute ila nashindwa kumwambia.
Nifanye nini kinachotakiwa?
Ila niendelee na hii hii formula ya kupiga kimya akinitafuta namjibu au sioAkileta mbunye wewe mpasue lakini akili kichwani ujue huyo siyo wako,endelea na mipango yako mingine huku ukiendelea kumpelekea [emoji91] wa kutosha sana.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
inategemea na malengo yako na wewe mwenyewe ni mtu wa aina gan.So hapa niishi nae kinafki au nimchane tu ajue maana lawama kila siku na mimi nshaona hanifai ingawa nna hisia sana juu yake ila kashafeli vigezo.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Kitendo Cha kushindwa kumwambia ukweli ni udhaifu Mkubwa sana. Kwani ukimchana live utapungukiwa nini?Habari wakuu,
Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya?
Ingawa mimi ndo nilimshawishi anambie ukweli kwamba sintomuacha ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia sana sitamani hata anitafute ila nashindwa kumwambia.
Nifanye nini kinachotakiwa?
Kwa maana hiyo wewe ni spare Tyre kwake, akienda huko akatoumbersha weeee akaona hapamfai anarudi kwako kukuletea makombo. Man up joh!Tuna muda hatujaonana ingawa tuko mkoa mmoja so alivonitafuta na kujifanya bado ana mapenzi kwangu nikaamua nimdadisi.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Kweli kaka,ingawa nikapisi ka haja na nnakefeel sana ila hanifai maishaniKwa maana hiyo wewe ni spare Tyre kwake, akienda huko akatoumbersha weeee akaona hapamfai anarudi kwako kukuletea makombo. Man up joh!
Sent using Jamii Forums mobile app