Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari wakuu,
Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya?
Ingawa mimi ndo nilimshawishi anambie ukweli kwamba sintomuacha ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia sana sitamani hata anitafute ila nashindwa kumwambia.
Nifanye nini kinachotakiwa?