Hii kitaalamu imekaaje?

Hii kitaalamu imekaaje?

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu,

Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya?

Ingawa mimi ndo nilimshawishi anambie ukweli kwamba sintomuacha ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia sana sitamani hata anitafute ila nashindwa kumwambia.

Nifanye nini kinachotakiwa?
 
Achana nae bro kwani unasubiri nini? Tafuta mwingine watoto wazuri wapo wengi tu wanatafuta mabwana wenye pesa
 
kama ni hvyo bas jua kaona huko halipo hapaeleweki akakumbuka kwako alivyokuwa ndio maana karudi
So hapa niishi nae kinafki au nimchane tu ajue maana lawama kila siku na mimi nshaona hanifai ingawa nna hisia sana juu yake ila kashafeli vigezo.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya?

Ingawa mimi ndo nilimshawishi anambie ukweli kwamba sintomuacha ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia sana sitamani hata anitafute ila nashindwa kumwambia.

Nifanye nini kinachotakiwa?
Huwenda anakupima imani. Jifanye hujamind but mchunguze kujua km yupo serious au anazingua km itakuwa kweli piga chini
 
So hapa niishi nae kinafki au nimchane tu ajue maana lawama kila siku na mimi nshaona hanifai ingawa nna hisia sana juu yake ila kashafeli vigezo.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
inategemea na malengo yako na wewe mwenyewe ni mtu wa aina gan.
kama ni mtu unaejitambua na hautaki kupotezeana mda na mtu mchane ukweli ili ajue hana nafasi kwako ila kama ni mpigaji tu we piga .

acha akili na hisia vikuongoze sio hisia tu
 
Habari wakuu,

Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya?

Ingawa mimi ndo nilimshawishi anambie ukweli kwamba sintomuacha ila kiukweli baada ya kukiri kwamba ana mtu mwingine najikuta namchukia sana sitamani hata anitafute ila nashindwa kumwambia.

Nifanye nini kinachotakiwa?
Kitendo Cha kushindwa kumwambia ukweli ni udhaifu Mkubwa sana. Kwani ukimchana live utapungukiwa nini?

Fanya vile nafsi yako inaridhika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo wewe ni spare Tyre kwake, akienda huko akatoumbersha weeee akaona hapamfai anarudi kwako kukuletea makombo. Man up joh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kaka,ingawa nikapisi ka haja na nnakefeel sana ila hanifai maishani

Ngoja niwait siku akilalamika tu hapo hapo tunamalizana.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kitaalamu kabisa kabisa huyo huko aliko hana furaha hivyo anabuy time, yaani Ile kitaalamu kabisa anatembea na ule msemo usiache kazi la haujapata kazi, lakini ukija Kwa kitaalamu kabisa yaani huyo anataka kukufanya figa la tatu si unajua.
 
Back
Top Bottom