Colonialism
Member
- Jan 17, 2025
- 15
- 51
Habari Wakuu , Natumai Mko poa .
Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana na Kua Mpenzi wangu Hapo zamani Ila Alikua rafiki angu sana kwenye Mambo Mengine ya kimaisha .
Tukasogea kwenye restaurant karibu kupata Hata Juice Ila kusalimiana vizur coz Ni Muda kidogo Tokea Kuachana kwetu na Tulipoteza Mawasiliano . Kwenye Story Mbili Tatu kasema amenikumbuka Sana Na Ana amini Mimi Ndio Fate/ Destiny Yake 😂. Maana Ameshakua kwenye Mahusiano kadhaa Ila Bado Hajapata wa Kuni replace. So anasema ametafuta sana Namba Yangu Ila alikosa and Actually Tuliachana Kwa Sababu za kitoto . So He is asking for Second Chance . Kwa upande wangu Na mm Nimemic Labda Kwa Sababu ya Changamoto ya Mahusiano Yangu Pia . And Honestly Hata Kwa Upande wangu He was My First Love So ilinichukua Muda sana Kumsahau. Tulikua Tunapendana sana ule Upendo wa Dhati kabisa with No Doubts . Ila Ukiachana na Kumkumbuka Ila Sipo Tayari kurudiana nae na Wala Sina Huo Mpango kutokana na Sababu zangu Binafsi . Ila Nataka kuuliza hiki kitu Fate kipo kweli kwenye real life hasa ya kwny Mahusiano ?