Hii kitu inaitwa FATE/DESTINTY Ni kweli kwenye Mahusiano ?

Hii kitu inaitwa FATE/DESTINTY Ni kweli kwenye Mahusiano ?

Habari Wakuu , Natumai Mko poa .



Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana na Kua Mpenzi wangu Hapo zamani Ila Alikua rafiki angu sana kwenye Mambo Mengine ya kimaisha .



Tukasogea kwenye restaurant karibu kupata Hata Juice Ila kusalimiana vizur coz Ni Muda kidogo Tokea Kuachana kwetu na Tulipoteza Mawasiliano . Kwenye Story Mbili Tatu kasema amenikumbuka Sana Na Ana amini Mimi Ndio Fate/ Destiny Yake 😂. Maana Ameshakua kwenye Mahusiano kadhaa Ila Bado Hajapata wa Kuni replace. So anasema ametafuta sana Namba Yangu Ila alikosa and Actually Tuliachana Kwa Sababu za kitoto . So He is asking for Second Chance . Kwa upande wangu Na mm Nimemic Labda Kwa Sababu ya Changamoto ya Mahusiano Yangu Pia . And Honestly Hata Kwa Upande wangu He was My First Love So ilinichukua Muda sana Kumsahau. Tulikua Tunapendana sana ule Upendo wa Dhati kabisa with No Doubts . Ila Ukiachana na Kumkumbuka Ila Sipo Tayari kurudiana nae na Wala Sina Huo Mpango kutokana na Sababu zangu Binafsi . Ila Nataka kuuliza hiki kitu Fate kipo kweli kwenye real life hasa ya kwny Mahusiano ?
Fate zipo na nimezisikia sijawahi kuziona live. Ex wangu wa sec ndo nilimwelewaga, huyo akisema turudiane tunalisongesha upya😆, maana tuliachana kwa upuuzi wake, ila hopefully now amekuwa . Popote ulipo X njoo turudiane🤣🤣
 
Katika vitu ambavyo Huwa sitaki kuviwaza ni kurudisna na ex Kuna mambo mengi either magonjwa kupigana matukio Zaid au kupotezeana muda
Penzi likiisha liache liishie
Mimi Pia Siamin katika Kurudiana kabisa , Lkn Nilitaka kujua Upande wa pili wa hicho Nilichoambiwa kuna ukweli au anataka maslahi Kwa upande wake
 
🤣🤣Ila watu kuhusu Kurudiana hicho kitu hakipo
Hahaha,
Kukulana ma ex ni kawaida, wee usimbanie mpe tu apunguze mzigo baada ya hapo ndo atakwambia ukweli.

Sisi ME tukizidiwa akili ikahamìa kichwa cha chini, tunaweza kukuahidi kukupa dunia nzima. Tukimaliza kupiga kazi fresh ndo akili inakaa sawa tunarudi kwenye uhalisia
 
Wewe ushaamua kurudiana nae, unachotaka hapa ni validation ya maamuzi yako.

Fate/destiny, it's all bullshit, wewe kama unataka kupasha kiporo nenda kapashe tu ila kumbuka huwa kuna sababu ya kila mahusiano kuvunjika na binadamu huwa hatubadiliki. Ulieachana nae kipindi hicho ndio huyo huyo wa leo.

Sasa nenda bila kutarajia malaika ikiwa alikuwa shetani enzi mlizokuwa pamoja.
Kwanini watanzania mna-negativity sana hii ni forum sio kosa la mleta uzi ile report ya Watanzania hawana furaha ni kweli kabisa
 
Ila Ukiachana na Kumkumbuka Ila Sipo Tayari kurudiana nae na Wala Sina Huo Mpango kutokana na Sababu zangu Binafsi .
Kamic kukutomba nothing else km na wewe umemic sio kesi tombaneni tu
 
Mimi nachojua Mwanamke kumuacha Mwanaume huwa inachukua muda mrefu almost 10 years na ikiwa walitembea pamoja ndo inachukua muda mrefu Sana .


Hivyo hiyo inaitwa FATE IPO Ila haipo Kama ulivyoielezea .

Don't be fooled with men , hasa anapokuwa anawinda anaweza kuongea chochote as to catch up ur attention.
 
Back
Top Bottom