Hii kitu inaitwa FATE/DESTINTY Ni kweli kwenye Mahusiano ?

Fate zipo na nimezisikia sijawahi kuziona live. Ex wangu wa sec ndo nilimwelewaga, huyo akisema turudiane tunalisongesha upya😆, maana tuliachana kwa upuuzi wake, ila hopefully now amekuwa . Popote ulipo X njoo turudiane🤣🤣
 
Katika vitu ambavyo Huwa sitaki kuviwaza ni kurudisna na ex Kuna mambo mengi either magonjwa kupigana matukio Zaid au kupotezeana muda
Penzi likiisha liache liishie
 
Katika vitu ambavyo Huwa sitaki kuviwaza ni kurudisna na ex Kuna mambo mengi either magonjwa kupigana matukio Zaid au kupotezeana muda
Penzi likiisha liache liishie
Mimi Pia Siamin katika Kurudiana kabisa , Lkn Nilitaka kujua Upande wa pili wa hicho Nilichoambiwa kuna ukweli au anataka maslahi Kwa upande wake
 
🤣🤣Ila watu kuhusu Kurudiana hicho kitu hakipo
Hahaha,
Kukulana ma ex ni kawaida, wee usimbanie mpe tu apunguze mzigo baada ya hapo ndo atakwambia ukweli.

Sisi ME tukizidiwa akili ikahamìa kichwa cha chini, tunaweza kukuahidi kukupa dunia nzima. Tukimaliza kupiga kazi fresh ndo akili inakaa sawa tunarudi kwenye uhalisia
 
Kwanini watanzania mna-negativity sana hii ni forum sio kosa la mleta uzi ile report ya Watanzania hawana furaha ni kweli kabisa
 
Ila Ukiachana na Kumkumbuka Ila Sipo Tayari kurudiana nae na Wala Sina Huo Mpango kutokana na Sababu zangu Binafsi .
Kamic kukutomba nothing else km na wewe umemic sio kesi tombaneni tu
 
Mimi nachojua Mwanamke kumuacha Mwanaume huwa inachukua muda mrefu almost 10 years na ikiwa walitembea pamoja ndo inachukua muda mrefu Sana .


Hivyo hiyo inaitwa FATE IPO Ila haipo Kama ulivyoielezea .

Don't be fooled with men , hasa anapokuwa anawinda anaweza kuongea chochote as to catch up ur attention.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…