Hii kitu inaitwa FATE/DESTINTY Ni kweli kwenye Mahusiano ?

Watanzania wana-negativity sana kuna watu wanataka kushare life experience anaogopa ndo maana hata kujiamini hatuna

Ukileta uzi wako stress za watu zote wanazimalizia kwako

Angalia mleta uzi anavyoshambuliwa bila hata kosa lolote
Hiyo ni changamoto kubwa sana
 
Huo ni ukoloni mamboleo unakuja na usasa usasa hivi 😅
 
Wewe unataka tukupe go ahead km ulikuwa na maamuzi ulilileta kutuuliza ili iweje??
 
Maamuzi tayari uanayo hapa unatafuta thamani ya maamuzi yako
 
Ukiniambia maana ya FATE na DESTINTY natoa ushauri mzuri😄
 
Kuwa makini wewe hamna mambo ya destiny....utagegegdwa wewe uachwe🤣🤣🤣🤣
 
Unajua zile zikijaa sana Zina sababisha hata akili inakuwa unstable kwenye maamuzi.

Jipe mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…