Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kitabu Cha
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila hata honeymoon haijaisha mtu ashatinga Kwa kaka yake kaja kufanyaje ??
Au kusaidia kushika mguu hakunaga haya mnachotafuta Nini na shukurani hazishi kila kitu ukimpa yupo Asante shemeji sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Kwenu Hili mnalionaje wazoefu wakuletewa vioja nyumbani.
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .