“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila hata honeymoon haijaisha mtu ashatinga Kwa kaka yake kaja kufanyaje ??
Au kusaidia kushika mguu hakunaga haya mnachotafuta Nini na shukurani hazishi kila kitu ukimpa yupo Asante shemeji sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Kwenu Hili mnalionaje wazoefu wakuletewa vioja nyumbani
Dada kuwa penda ndug wa mmeo ni ishara ya kuwa mke Bora na mwema. Hizo ni element za roho ya korosho , and what if ndug zako wakij kuishi apo nyumbani utasema nn mmeo akilalamika ni sawa ?
Wewe inaonyesha ni mchanga. Uchoyo mwingi Sana na ubinafsi. Isitoshe point yako haina msingi
Kuwa mwili mmoja na Mtu ni kushiriki nae tendo la ndoa. Sasa hao Ndugu wa Mume wamekuomba ulale nao?
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila hata honeymoon haijaisha mtu ashatinga Kwa kaka yake kaja kufanyaje ??
Au kusaidia kushika mguu hakunaga haya mnachotafuta Nini na shukurani hazishi kila kitu ukimpa yupo Asante shemeji sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Kwenu Hili mnalionaje wazoefu wakuletewa vioja nyumbani.
Wewe inaonyesha ni mchanga. Uchoyo mwingi Sana na ubinafsi. Isitoshe point yako haina msingi
Kuwa mwili mmoja na Mtu ni kushiriki nae tendo la ndoa. Sasa hao Ndugu wa Mume wamekuomba ulale nao?
Ndiyo, umeolewa na ukoo. Hebu soma Mwanzo 38:8-11
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye. Yuda akamwambia Tamari mkwewe, Ukae mjane nyumbani mwa baba yako hata Shela mwanangu atakapokuwa mtu mzima , maana alisema, Asipate kufa yeye kama nduguze. Basi Tamari akaenda, akakaa nyumbani mwa babaye.
Mwa 38:8-11 SUV
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguy
bible.com
Usiwachukie wala usiwafukuze ndugu wa mumeo, hao ni waume zako pia

kiasili ktk nyumba yaana mwanamke ndio anaonaga sahihi kutembelewa na ndugu na mume wala hawezi kubonga kitu, ila mwanaume akitembelewa na ndugu dah mke ananuna nuna kila time nahisi anabanwa banwa,
ATA IVYO KARNE HII SIO TENA YA KUTEMBELEANA, MIM NIKIMTEMBELEA NDUGU UJUE MKOA HUO NILIENDA KWA SHUGHULI ZANGU BINAFSI NIKAONA NIKAWASALIMU NA SILALI NYUMBAN KWAO NAENDA LODGE TU, ZAMA ZIMEBADIRIKA WATU WANAISHI KWA BAJETI SIO TENA KAMA ZAMAN MASWALA YA UJAMAA,
UNAENDA KWA NDUGU, NDUGU NAE MAISHA YA KUUNGA UNGA UNAFORCE AKOPE MADENI ILI UISHI VIZURI USIONDOKE NA KINYONGO.
UJAMAA WA KUISHI KI Extended family, now ni nuclear family aisee
Watu wanamlaumu Unique bure...iko ivi. Mleta mada ameleta tafakuri nzuri lakin namna alivyoiwasilisha ndo amekosea. Ameiwasilisha kishari sana..bila maneno ya hekima. Lakin hakuna mkamilifu anyways.
Ndoa inahitaji kulelewa jamani. Mwanzon ndoa lazima ijengwe kwenye msingi imara...ili jengo likianza kupanda kusiwe na shida yoyote. Sasa wanandoa wanapoingia ndani huwa kuna tabia, attitude, mifumo u
Inayojitokeza ambayo mwanzo haikuwepo.
Maana wote tunakua tumeshapata ndoa. Kama ni mwanaume atataka awe real..kama mwanamke na yeye makucha yanajionyesha. Sasa lazima kuwe na migongano ya mawazo, kauli, hisia..like that.
Bila kuwa wenyewe ili mjiset right kwanza lazima mtabugi. Wanandoa wapewe uhuru wa kuishi wao kama wao kwanza. Ndugu tunawapenda lakin hata mimi kama mwanamke, sioni ni hekima ndugu yangu kuja kuishi na mimi kabla sijasomana na mme wangu na nyumba yangu vizuri.
Kama itatokea ni ugonjwa labda, hapo sawa..lakini ile tu kuishi wakati wana kwao na kwao hakuna shida, ama anaoption ya kuishi pengine basi siafiki sana...Tusomane kwanza maana kuna wengine ambao hawajaishi pamoja kabla ya ndoa. Ilikua ni kuonana juu kwa juu afu fresh.
Hata wewe mwanaume unayeona Unique kakosea, unajua fika...ulivyoanza maisha yani ndo umeanza kupanga ulimuita ndugu yako? Yani umepanga leo kesho ukamwambia ndugu yako aje?? Kama ndio kulikua na sababu maalum sana ndo maana ukamuita. You are exempted. Lakin ile tu aje tuish wote kisa unampenda nduguyo na kwenu mko fresh..hakuna shida. Aaaah sio kweli...
We need privacy in life ili tujitafute kwanza. Hata ndoa inahitaji privacy kwanza ili ijitafute na kukaa kwenye msingi imara. Hata Yesu kabla ya kuanza assignment duniani alienda kujitafuta kwanza jangwani mwenyewe..alisepa kwa wazazi, akapiga mfungo..ndo akaja kuanza kuchangamana na watu. Hata akina Ibrahim...Mungu alimwambia kwanza ajitenge na Lutu maana alishaona nongwa wanavyogombania maeneo akampa order ajitenge. Aliona kabisa hawa wote watu wazima. Na huyu mimi nina kazi nae..sasa ngoja niwatenganishe kwanza. We all need "me" time..sometimes...to build ourselves. Hata wewe kaka au dada, kuna mida huwa unapita bar, restaurant..mwenyewe unatulia ili tu utafakari mambo yako...ndoa ni kiumbe hai...inahitaji kukua kwanza, ndo ianze kupokea ya walimwengu.
Lakin kuna exceptions chache kama ugonjwa, sherehe, kifo ambavyo vitahitaji ndugu kufika kwenu na bado ndoa changa..hapa sasa ndipo hekima ya Mungu iamue mioyoni mwa mwanamke na mwanaume. Haya ni mawazo yangu tu..sio sheria!!
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila hata honeymoon haijaisha mtu ashatinga Kwa kaka yake kaja kufanyaje ??
Au kusaidia kushika mguu hakunaga haya mnachotafuta Nini na shukurani hazishi kila kitu ukimpa yupo Asante shemeji sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Kwenu Hili mnalionaje wazoefu wakuletewa vioja nyumbani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.