Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Mkuu kwa gls kwa 77000 usd bado ni cheap kuliko vx
Mind you hizo ni bei ukijumlisha na kodi huko ilipo, gari hii kwa mahesabu ya import unapoileta Bongo lazima iwe bila kodi yoyote ndo utakuwa sahihi .
ukisema kuwa 77000 usd then uongeze na kodi za bongoland utakuwa umeidouble tax hiyo gari
Kiufupi gls 2020 haifiki thamani ya. Prado Tx 2020 ambayo ni karibu dola 92000
 
Funga kopo lako wewe dogo utachoreshwa 7, shauri yako!!
 
unapigaje picha gari ya mtu kwanini usingeingia mtandaoni na kutuonyesha sample yke
Mkuu.....naamini ulivyokua mdogo ulipata lishe bora na malezi safi kabisa...ndio maana umeongea point

Lishe duni utotoni imeathiri sana uwezo wa Wamatumbi wengi ktk kufikiri na kuMake rational judgement!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Lee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

VXR ni top model ya LC200 series. Unadhani ni sahihi kulinganisha na entry model ya GLS?

Kwenye Calculator ya TRA;

VXR wamewekea CIF ya $72,000 na GLS wameiwekea CIF ya $112,000.

Kodi ya VXR $47,000 na kodi ya GLS ni $73,000.

Kwa mujibu wa tovuti ya toyota.co.za wanaiuza VXR R1,606,600 sawa na $114,034.

Kwa mujibu wa mbusa.com wanauza;

GLS 450 = $77,000.

GLS 580 = $99,000.

GLS AMG 63 = $133,000.

GLS Maybach $160,000.

Na kusema Prado TX ni expensive kuliko GLS unapotosha pakubwa sana. Prado VX.L ambayo ni top model ya Prado Lineup inauzwa $119,000 sawa na Tsh. 279M tena hiyo ni pamoja na kodi.

Na kama unataka kulinganisha top model ya LC200 series na uhakikishe unalinganisha na top model ya GLS na sio uchukue VXR (top model) na GLS 450 (ambayo ni entry model). Sio sahihi.
 
Hiyo thamani ya Prado Tx unauoisema hapo ni pamoja na kodi ujue? Bila kodi Prado Tx inaenda kwa arround $69300.

Hiyo hapo chini ni price list ya Prado toka Toyota Tz. Hizo bei ni pamoja na kodi. Unaenda kuchukua tu.
 

Sema we jamaa una dharau sana labda utoto au kutaka kujifanya mjuaji

Angalia na maneno unayo yaweka kwenye adhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…