Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Nilifuata comment uliosema watu wanakariri German Models ni expensive wakati sio.

Nimekuonesha mifano tu ya German models zilizo expensive kuliko hizo Toyota VXR. And last time i checked, top model ya Toyota Landcruiser ambayo ni VXR inauzwa $120,000. Ukiweka options na makodi ndo inakuja hiyo $180,000 sawa na 400M kama ya yule mkurugenzi wa Geita.
Mkuu kwa gls kwa 77000 usd bado ni cheap kuliko vx
Mind you hizo ni bei ukijumlisha na kodi huko ilipo, gari hii kwa mahesabu ya import unapoileta Bongo lazima iwe bila kodi yoyote ndo utakuwa sahihi .
ukisema kuwa 77000 usd then uongeze na kodi za bongoland utakuwa umeidouble tax hiyo gari
Kiufupi gls 2020 haifiki thamani ya. Prado Tx 2020 ambayo ni karibu dola 92000
 
Hapana,,,,,nakwambia tuu watu wanajua hilo kwamba huna akili,,,,unapenda ugomvi ugomvi hata kama haukuhusu,,,,unatukana watu,,,,,kila siku wewe humu unatukana watu wanafilwa,,,,kama unataka kufilwa si utumie njia nyingine,,,,hio ni ngumu sana watu kujua kwamba unafilwa,,,,wachache ndio tumejua,,,,kama mimi muongo fatilieni post zake

OLE WAKO NIKUKUTE UNATUKANA TENA WATU,,,,,nimemaliza
Funga kopo lako wewe dogo utachoreshwa 7, shauri yako!!
 
Mkuu.....naamini ulivyokua mdogo ulipata lishe bora na malezi safi kabisa...ndio maana umeongea point

Lishe duni utotoni imeathiri sana uwezo wa Wamatumbi wengi ktk kufikiri na kuMake rational judgement!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu kwa gls kwa 77000 usd bado ni cheap kuliko vx
Mind you hizo ni bei ukijumlisha na kodi huko ilipo, gari hii kwa mahesabu ya import unapoileta Bongo lazima iwe bila kodi yoyote ndo utakuwa sahihi .
ukisema kuwa 77000 usd then uongeze na kodi za bongoland utakuwa umeidouble tax hiyo gari
Kiufupi gls 2020 haifiki thamani ya. Prado Tx 2020 ambayo ni karibu dola 92000

VXR ni top model ya LC200 series. Unadhani ni sahihi kulinganisha na entry model ya GLS?

Kwenye Calculator ya TRA;

VXR wamewekea CIF ya $72,000 na GLS wameiwekea CIF ya $112,000.

Kodi ya VXR $47,000 na kodi ya GLS ni $73,000.

Kwa mujibu wa tovuti ya toyota.co.za wanaiuza VXR R1,606,600 sawa na $114,034.

Kwa mujibu wa mbusa.com wanauza;

GLS 450 = $77,000.

GLS 580 = $99,000.

GLS AMG 63 = $133,000.

GLS Maybach $160,000.

Na kusema Prado TX ni expensive kuliko GLS unapotosha pakubwa sana. Prado VX.L ambayo ni top model ya Prado Lineup inauzwa $119,000 sawa na Tsh. 279M tena hiyo ni pamoja na kodi.

Na kama unataka kulinganisha top model ya LC200 series na uhakikishe unalinganisha na top model ya GLS na sio uchukue VXR (top model) na GLS 450 (ambayo ni entry model). Sio sahihi.
 
Mkuu kwa gls kwa 77000 usd bado ni cheap kuliko vx
Mind you hizo ni bei ukijumlisha na kodi huko ilipo, gari hii kwa mahesabu ya import unapoileta Bongo lazima iwe bila kodi yoyote ndo utakuwa sahihi .
ukisema kuwa 77000 usd then uongeze na kodi za bongoland utakuwa umeidouble tax hiyo gari
Kiufupi gls 2020 haifiki thamani ya. Prado Tx 2020 ambayo ni karibu dola 92000
Hiyo thamani ya Prado Tx unauoisema hapo ni pamoja na kodi ujue? Bila kodi Prado Tx inaenda kwa arround $69300.

Hiyo hapo chini ni price list ya Prado toka Toyota Tz. Hizo bei ni pamoja na kodi. Unaenda kuchukua tu.
20210512_213118.jpg
 
We jamaa kalio kweli. Yani mm nione wivu mtu anamiliki TOYOTA?

Si Bora nife sasa maana maisha yatakua hayana maana.

Huoni kama tupo ligi tofauti. Mimi sipo kwenye stage ya kupiga picha magari ya wanaume na kuyapost mitandaoni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Sema we jamaa una dharau sana labda utoto au kutaka kujifanya mjuaji

Angalia na maneno unayo yaweka kwenye adhara
 
Back
Top Bottom