t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mkuu kwa gls kwa 77000 usd bado ni cheap kuliko vxNilifuata comment uliosema watu wanakariri German Models ni expensive wakati sio.
Nimekuonesha mifano tu ya German models zilizo expensive kuliko hizo Toyota VXR. And last time i checked, top model ya Toyota Landcruiser ambayo ni VXR inauzwa $120,000. Ukiweka options na makodi ndo inakuja hiyo $180,000 sawa na 400M kama ya yule mkurugenzi wa Geita.
Mind you hizo ni bei ukijumlisha na kodi huko ilipo, gari hii kwa mahesabu ya import unapoileta Bongo lazima iwe bila kodi yoyote ndo utakuwa sahihi .
ukisema kuwa 77000 usd then uongeze na kodi za bongoland utakuwa umeidouble tax hiyo gari
Kiufupi gls 2020 haifiki thamani ya. Prado Tx 2020 ambayo ni karibu dola 92000