Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sample size ya waliohojiwa katika utafiti huu ni Kamati kuu Chadema!!! Sasa kama asilimia 25% ya injini ya chama cha Chadema haimtaki Lissu ujasiri mnautoa wapi wa kumpigia kura Lissu!Mpaka hivi tunavyoongea Tundu Lissu ...kura za maoni kwa 75%
Hivi CCM inawacha Mungu?Acheni kuiba kura tuone kitakachotokeaHahahaha nimecheka Sana...jibu zuri Sana...hajui huyo...anadhani wanaokuja kwenye kampeni wote no wapiga kura...hajui kuwa asilimia 90 ya wapiga kura hubaki majumbani ...wakisubiri siku ya siku...
Hats mgombea mwenza yupo nondo kama bosi wake.Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au Akili kiasi cha kuzoza hovyo bila kutumia Akili kama ilivyo kwa Tundu Lissu mgombea kutoka Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema.
Hakika hii ni machine au chuma cha pua kabisa ukilinganisha na wagombea wenzake tena wengine wazoefu zaidi yake.
Na lakushangaza ni kuwa Lissu huwa anaicheza show mwenyewe jukwaani, hana cha msanii wala blabla za viongozi wengine eti hotuba za utangulizi.
Hakika nadhani Mungu karuhusu tuingie majaribuni jee tutashindwa kuona uwezo huu na kuendelea na ujinga kama kawaida yetu kisha atuache jumla kama Somalia na kwingineko kwenye neema ya maliasili lakini ujinga umetamalaki.
Lissu atashinda kampeni magufuri atashinda uchaguzi Tarehe 28/10/2020
Inavyoelekea umeathirika sana na ushoga, jizuie tu kwan kuna mtu anakubaka kama anakulazmisha vyombo vya sheria vipo, usiogope kusema, yawezekana sisi tunaona ni tatizo dogo kumbe umeumia pakubwa, pole sana.Msaliti wa Nchi anaruhusiwa kupiga kampeni hata ubeligiji
Ila Tanzania hatutaki ushoga,
Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Hata lowassa ilikuwa hivyo hivyo 2015!
Mkuu mawakala wa chato hawajaapishwa kuna muongozo gani kuhusu hili jambo?Mpaka hivi tunavyoongea Tundu Lissu anaongoza kura za maoni kwa 75%
Inavyoelekea umeathirika sana na ushoga, jizuie tu kwan kuna mtu anakubaka kama anakulazmisha vyombo vya sheria vipo, usiogope kusema, yawezekana sisi tunaona ni tatizo dogo kumbe umeumia pakubwa, pole sana.
Tumchague Lissu tuondokane na dikteta.Huyu ni mtu na nusu....Chuma cha reli
Lissu Sio Jasili Sema yupo kwenye nchi Ambayo Yuko huru na Kuna Amani. Kwa upuuuzi anaofanya huko Majukwaani kusingizi Rais ndio alitoa Amri apigwe Risasi Angekuwa nchi nyingine angekuw Anayea ndooNi kama walimwongezea nguvu kwa zile risasi.
Halafu ni jasiri kuliko walipokuwa hawajamshambulia. Hakika huyu ndiye afaaye.
Hivi harakati za Makonda kufukuza mashoga Dar ziliishia wapi? tukumbushane basi au Lissu ndiye alimwambia asitishe lile zoezi.Tanzania haiwezi kuongozwa na msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Wewe ulielewa hivyo? "Wakati wa ukoloni wananchi walikuwa na madaraka"? Hata swali dogo kama hili huwezi kulidadisi ili uelewe kilichosemwa? Wewe ni robot!Hata kampeni kashashindwa, yaani anawaahidi watanzania kuwa atawarejeshea madaraka kama ilivyo kuwa wakati wa ukoloni!!! Kuna kampeni humo kweli!!!?
Leo gari la mkaa liko wapi?Hata kampeni kashashindwa, yaani anawaahidi watanzania kuwa atawarejeshea madaraka kama ilivyo kuwa wakati wa ukoloni!!! Kuna kampeni humo kweli!!!?
Hapana mkuu, kuna mengine sio ya Mola. Kama yale ya kuwasomba kila cheupe ukionacho Kona bar (nasikia hulka hiyo ilikuwepo) si vizuri tumsingizie MolaHehehe sio vizuri kumnanga mgonjwa.[emoji28][emoji28][emoji28]maradhi yanaleta na Mola