Hii law ni very useful nimeitumia na imefanya kazi 100%

Hii iko sawa.

Kuna kipindi nilikua nasikiliza sana story za free mansons, new world order and the like.

Nikaanza kuishi kwa hofu, as if Dunia inaisha kesho 😀. Ikabidi niache kabisa kufatilia hayo mambo, baada ya muda nika kaa sawa.

Miaka 10 imepita now, Hii Dunia inazunguka tu
 
👊👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…