Mind is a beautiful thing.
View attachment 3580560
Hii misemo Bwana haina tofauti na walokole😄😄Changes begins with your mindset,
True personal transformation starts internally by challenging beliefs and updating
your mindset before it manifests outwardly.
Sio chochote. Waza kuwa Rais halafu uweChochote utakacho kiwaza lazima kitokee
Nimewaza sana kuwa na mwanamke mwenye makebo makubwa lakini bado sijampata 🥲🥲.Chochote utakacho kiwaza lazima kitokee
Kuna level,lazima ukamilishe level ya kwanza ndo uende level ya pili,si dhani kama mtu mwenye njaa anaweza waza kununua gari,lazima kwanza awaze chakula ,akishakipata anahamia kwenye mahitaji mengine.Ukiwaza utajiri unaupata sio
😭😭keep thinking
Just a realistic person.Nawaza yote mabaya na mazuri kwa pamoja japo nategemea mazuri zaidi